Naombeni lift kutoka Moshi naelekea Dar

mareeTZ

Senior Member
Jun 4, 2015
171
179
Habari wana JF wenzangu, happy new year.

Nilikuja huku Moshi kuhesabiwa sasa tangu Jana mabasi yamejaa hakuna gari hadi tarehe tano. Hivyo kama kuna mwana JF yeyote humu anasafiri na private car kuanzia kesho tarehe tatu na kuendelea anisaidie kalifti jamani. Nitashukuru jamani. Unaweza kucomment nitakufuata PM. Au unaweza ku PM direct.
 
Wiki yote nadhani mabasi yatakuwa na abiria wengi,Kama huna haraka endelea kupunzisha mwili home,au likizo imeisha?,Dar mvua hakuna joto mtindo mmoja.
 
Wewe acha kutudhalilisha wachagga hatuna akili kama za kwako za kushindwa kuweka akiba kwa mambo ya msingi, pia sisi hatuombi ombi hovyo mkuu! Acha hiyo mambo kabisa
We chakii kweli; kakwambia mabasi yamejaa siyo kwamba hana hela...
 
Habari wana JF wenzangu, happy new year.

Nilikuja huku Moshi kuhesabiwa sasa tangu Jana mabasi yamejaa hakuna gari hadi tarehe tano. Hivyo kama kuna mwana JF yeyote humu anasafiri na private car kuanzia kesho tarehe tatu na kuendelea anisaidie kalifti jamani. Nitashukuru jamani. Unaweza kucomment nitakufuata PM. Au unaweza ku PM direct.

Nenda pale njia panda kuna magari ninafsi yanasanyaga abiria pale, ila uwe na nauli
 
Mi nilisema hawa watu wanajuaga kila kitu ni dili sasa amekosa nauli ya kurudia hapo bado ada za watoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom