iCode
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 758
- 439
Amani na iwe nanyi.
Juzi Tanapa walitangaza nafasi za ajira kwa Askari wa wanyamapori, namna ya Application inamtaka mhusika afanye application katika website ambayo inasaidia Tanapa kufanya hiyo recruitment..
Inaitwa ArutiHR na katika kujaza details zote Nimekosa sehemu ya kufanya attachment ya vyeti.
Naombeni kwa mwenye ujuzi anisaidie namna ya kuambatanisha nakala za vyeti. Kwenye tangazo lao imeelekezwa Kuweka vyeti husika.
Nawasilisha.