Naombeni kujuzwa siku ya hatari ya kubeba mimba

ziana

Member
Nov 23, 2016
45
32
Habarini za mchana ndugu nahisi mu wazima wa afya

wapendwa naombeni mnijuze siku ya hatari ya kushika ujauzito.
Nimeanza kupata period kwa mwezi huu wa 12 (tarehe2-6) ndo namaliza naombeni mnifahamishe siku zangu za hatari za kushika ujauzito zitakuwa ni tarehe ngapi.

Nawasilisha
 
Hujaeleweka,ukishajua hizo siku hatariunataka kushika mimba au kuzuia mimba??
 
Kama unatumia simu ya android nenda playstore na install application inayoitwa My calendar kama inavyoonekana hapohakika utafurahia maisha!!.....Mimi naitumia wala sijawahi kujuta.....ina muongozo mzuri sana kuhusu siku hatari,salama e.t.c!!....enjoy it!
 
Attachments

  • 1480855464544.jpg
    1480855464544.jpg
    48.8 KB · Views: 564
Habarini za mchana ndugu nahisi mu wazima wa afya wapendwa naombeni mnijuze siku ya hatari ya kushika ujauzito.
Nimeanza kupata period kwa mwezi huu wa 12 (tarehe2-6)ndo namaliza naombeni mnifahamishe siku zangu za hatari za kushika ujauzito zitakuwa ni tareh ngapi.
Nawasilisha
1480855742260.jpg
 
Kuna njia kama tatu hivi jinsi ya kubaini siku za hatari. Moja kitalaamu unashauliwa kujua joto la mwili wako kwa kupima joto la mwili wako mfano baada ya kumaliza hedhi unatakiwa kuanza kupima joto na kipima joto (thermometer) walau mara 2 kwa siku kila siku na uwe unarekodi kwenye daftari au kwenye karatasi kwa muda wote ambao haupo kwenye hedhi (siku zako) na hapo utabaini tu katika siku ulizo jipima na kuona joto la mwili wako lipo juu kuliko siku zingine ulizo jipima ujue hiyo au hizo ndo siku zako za kushika au kupata mimba au kama mwenyewe ulivyo ziita ni siku za hatari. Njia ya pili ni ile toka unapo maliza mzuunguko wako hedhi (umalizapo siku zako) siku ambayo au siku ambazo mwili wako utajihisi kuwa unahamu ya kufanya tendo la ndoa kuliko siyo yoyote ambayo au ambazo haupo kwenye hedhi ujue basi hiyo ndo siku ama siku ambazo za hatari kwako kupata mimba. Tatu na mwisho ni pale umalizapo hedhi siku ambayo au ambazo utaona kuna ute ute mwingi unatoka kwenye sehemu zako za siri za uzazi ujue ndo siku zako za kushika mimba au hatari.
 
Asante ndug
 
  • Thanks
Reactions: AAJ
Ziana inategemeana na mzunguko wako ni wa siku ngapi. Kama mzunguko wako ni wa siku 28 (majority) basi siku ya kupata mimba ni ya 14 tangu ulipopata hedhi
 
Na hapo pagumu maan mimi siku zangu zinabadilika badilika sasa. Sijui nitajuaje nifundishe kuzihesabu kama hutojali
 
Hesabu siku achana na tarehe..siyo lazima tarehe iwe moja miezi yote...ila namba ya siku tangu damu mpaka damu ndo mzu guko wako...
 
Huwezi jua siku hatar unless uwe una jua mzunguko wako
Km unajua je mzunguko wako n wa siku ngap
Km hujui kusanya data kwa miez 3 had 6
From there can help with it
 
Na hapo pagumu maan mimi siku zangu zinabadilika badilika sasa. Sijui nitajuaje nifundishe kuzihesabu kama hutojali
Kwa mfano ukiona damu tarehe 3 siku hiyo ndo siku ya kwanza, haijalishi zitakata lini utaendelea kuhesabu hadi utakapopata damu ya mwezi mwingine huo ndo utakuwa ukomo wa mzunguko wako
 
Habarini za mchana ndugu nahisi mu wazima wa afya

wapendwa naombeni mnijuze siku ya hatari ya kushika ujauzito.
Nimeanza kupata period kwa mwezi huu wa 12 (tarehe2-6) ndo namaliza naombeni mnifahamishe siku zangu za hatari za kushika ujauzito zitakuwa ni tarehe ngapi.

Nawasilisha
Hebu nipm nikujuze kiundani zaidi maana unaonekana unashida na mimba
 
Back
Top Bottom