Naombeni kujuzwa kuhusu gazzete la Serikali

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,552
44,711
Habari wakuu Nina maswali kadhaa nikiamini nitapata mwanga kuhusu gazeti la Serikali naomba mnisimulie Linauzwa wapi na shingapi kulinunua?na linachapishwa na Nani Lina habari gani na linatoka Mara ngapi kwa week na Lina kurasa ngapi?
 
Habari wakuu Nina maswali kadhaa nikiamini nitapata mwanga kuhusu gazeti la serikali naomba mnisimulie Linauzwa wapi na shingapi kulinunua?na linachapishwa na Nani Lina habari gani na linatoka Mara ngapi kwa week na Lina kurasa ngapi?
Mbona yapo mengi tu mkuu nadhani ni kutoka ile kampuni ya TSN(mtanisahihisha) ambapo kuna kina Daily News,Habari Leo nk nk ndo magazeti ya serikali

Ila hapa nadhani unaongelea kuhusu zile sheria na kanuni ambazo huwa kuna kipengele kuwa lazima zitangazwe na gazeti la serikali ndo zinaanza kutumika. Basi ndo huwa wanaweka hayo matangazo humo kwenye hayo magazeti yao(Ingawa pia wanaweza kuweka na ktk gazeti binafsi km Nipashe,Majira nk) ila katika gazeti la serikali ni lazima itangazwe
 
No !hujamuelewa mwenzio hayo ni Magazeti yanayomilikiwa na Government but kuna Gazeti special la Serikali ni tofauti na hayo uliyoyataja ukienda Government Printing offices unayakuta humo na linatoka mara 1 kwa wiki
 
Itakuwa mkuu jina lake la kazi mpya litatangazwa gazeti la serikali
 
Habari wakuu Nina maswali kadhaa nikiamini nitapata mwanga kuhusu gazeti la serikali naomba mnisimulie Linauzwa wapi na shingapi kulinunua?na linachapishwa na Nani Lina habari gani na linatoka Mara ngapi kwa week na Lina kurasa ngapi?

A government gazette (also known as official gazette, official journal, official newspaper, official monitor or official bulletin) is a periodical publication that has been authorised to publish public or legal notices. It is usually established by statute or official action and publication of notices within it, whether by the government or a private party, is usually considered sufficient to comply with legal requirements for public notice.[1]
 
Ukiingia kwenye website ya wizara ya utumishi wa umma kama sijakosea huwa wanalipost
 
Gazeti la Serikali huchapishwa na Mpiga Chapa wa Serikali unaweza kulipata ofisii za Habari/ Maelezo au Ofisi ya Mpiga Chapa mwenyewe,Huwa linatoka mara moja kwa wiki na huwa lina habari mbali mbali za Serikali km misuada,sheria zilizo sainiwa,teuzi,kupandishwa vyeo Watumishi wa Serikali nk
 
Nina plan ya kumrudia mtoto

No !hujamuelewa mwenzio hayo ni Magazeti yanayomilikiwa na Government but kuna Gazeti special la Serikali ni tofauti na hayo uliyoyataja ukienda Government Printing offices unayakuta humo na linatoka mara 1 kwa wiki

A government gazette (also known as official gazette, official journal, official newspaper, official monitor or official bulletin) is a periodical publication that has been authorised to publish public or legal notices. It is usually established by statute or official action and publication of notices within it, whether by the government or a private party, is usually considered sufficient to comply with legal requirements for public notice.[1]

Ukiingia kwenye website ya wizara ya utumishi wa umma kama sijakosea huwa wanalipost

Gazeti la Serikali huchapishwa na Mpiga Chapa wa Serikali unaweza kulipata ofisii za Habari/ Maelezo au Ofisi ya Mpiga Chapa mwenyewe,Huwa linatoka mara moja kwa wiki na huwa lina habari mbali mbali za Serikali km misuada,sheria zilizo sainiwa,teuzi,kupandishwa vyeo Watumishi wa Serikali nk
Aisee kudos wakuu. Kweli JF kisima cha maarifa
 
Back
Top Bottom