Naombeni kujua gharama za Silent Ocean

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Gharama za Silent Ocean zipoje?Kuna mzigo wa Laki na nusu nataka niagize sasa nashindwa kujua gharama zao wanachaji vipi

Kwa mfano mzigo wa kilo moja wanachaji shilingi ngapi kuusafirisha kutoka China?Nauliza maana nimekua nikiwauliza hata siwaelewi na sijui kwanini makampuni mengi ya kibongo hayaweKi wazi gharama zao za kusafirisha mizigo
Aliyewah kutumia silent aniambie tafadhali wanachaji kuanzia shilingi ngap
 
Cbm kwa mfano wa ukubwa wa mzigo wa size ya ndoo ndogo ya lita kumi inacost sh ngap?

Shule ya msingi kuna hesabu za ujazo.. na form one kuna topic ya hesabu inaitwa volume.. sasa piga hesabu ya mzigo wako .. ukipata jibu nenda kwa silent ocean watakukadiria gharama
 
Mh

Mkuu si umweleweshe vizuri tu? Mambo ya shule yanatoka wapi tena? Kama hajasoma je?

Jibu lake lina pande mbili,
1. Huenda aliongea kitu ambacho hata yeye hajui, so ana buy time aka google ndio alete jibu
2. Anajua ila anataka muulizaji ajifunze mwenyewe (Selfish)
 
Cbm kwa mfano wa ukubwa wa mzigo wa size ya ndoo ndogo ya lita kumi inacost sh ngap?
Nadhani mkuu wao wanaanza kusafirisha mzigo kuanzia ukubwa wa cubic mita 1,hawaaangalii uzito kwani wao husafirisha kwa meli,so kinachomata ni ujazo,
Ukitaka kusafirisha mzigo wa kupima,watafute unique aircargo kuna jamaa yao humu anaitwa antipas ,sijui kama huyu ni legit ,wanadai kilo moja wanasafirisha tsh 30,000,hiyo ina include na import tax,
Maana ya cubic mita moja,
Chukua urefu wa rula hizi za kawaida wanatumia wanafunzi,hizi za cm 30,
Sasa hizo ziweke kwa urefu mara tatu,,yaani cm 90,upana hivyo hivyo na kimo hivyo hivyo,so ukubwa wa huo mzigo,silent ocean wanakusafirishia kwa usd 600 kama sikosei,,sawa na takriban milioni 1.3,
Hiyo ina include import tax,so mzigo ukifika wewe ni kwenda kulipia hiyo pesa na kuchukua mzigo wako kwenye ofisi zao
 
Asante sana nimepata picha mkuu

Back
Top Bottom