A.J
Senior Member
- Jun 9, 2015
- 140
- 147
Naombeni kujua sifa za muombaji wa clinical officer na pia vyuo vizuri kwa kutoa course hiyo, pia naulzia NACTE wanaweza fungua udahil tena mpaka lini? Mimi nilikuwa Dodoma special dip baada ya kutimuliwa chuo na kuona hakuna kinachoendelea nimeamua niangalie tuu utaratibu mwingne wa kutafuta chuo.
Lakini ikawa bahati mbaya kwangu kwani tuliondoka chuo tar 29 may na tar 31 June ikawa ndio mwisho wa udahili NACTE, Je kwa sasa hivi unaweza jisajili tu chuo phyisically bila hata kupitia NACTE? Nipo home sielewi nifanye nini na muda unazid kwenda nazidi pata stress, mimi ndio mtoto wa kwanza na wa kiume home. Nisaidieni kwa hilo pia kama kuna ushauri tushauriane wadau, nimeleta hiyo kitu huku kwa sababu najua kuna wakubwa zangu.