palahingwe
Member
- Apr 1, 2020
- 16
- 10
Habari wana jamii! naomben kujua kuhusu hili! Kwanini binadamu haoni gizani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mtu kanambia kuna uhusiano kati ya mwang wa jua na kuona! ni ya kweli boss.Photoreceptor cell-kuna cones and rods. cones inamuwezesha kiumbe kuona zaidi wakati wa usiku na rods inamuwezesha kiumbe kuona zaid wakati wa mchana.
Hivyo basi uoni hafifu wa binadamu wakati wa usiku kunachagizwa na uchache wa photoreceptor cell aina ya cones na uoni ang'avu zaidi wakati wa mchana ni uwingi wa rodes. Refer to popo why anaona zaidi usiku kuliko mchana. etc
Muulize kuna uhusiano gani kati ya popo kuona usiku na akuna mwanga wajua/giza.kuna mtu kanambia kuna uhusiano kati ya mwang wa jua na kuona! ni ya kweli boss.
Popo haoni... Anatumwa mwangwiMuulize kuna uhusiano gani kati ya popo kuona usiku na akuna mwanga wajua/giza.
Anaona gizaHabari wana jamii! naomben kujua kuhusu hili! Kwanini binadamu haoni gizani?
Ikitokea ukakakaaa kwenye Giza muda mrefu said ya mweIi uwe kwenye giza tu unakuwa unaweza kuona vizuliii gizani lkn ukitoka ktk mwanga unakuwa hauwoni vizuli kwenye mwanga, na ukirudi kukaa tena ktk mwanga kwa maisha ya kawaida unakuwa hauweoni tena kwenye gizaHabari wana jamii! naomben kujua kuhusu hili! Kwanini binadamu haoni gizani?
Umemaliza sina hata nyongeza nliwahi kufuatilia hii. Ila kuna miwani haijawa common inatumika na jeshi la marekani ukiivaa unaona fresh tu gizaniPhotoreceptor cell-kuna cones and rods. cones inamuwezesha kiumbe kuona zaidi wakati wa usiku na rods inamuwezesha kiumbe kuona zaid wakati wa mchana.
Hivyo basi uoni hafifu wa binadamu wakati wa usiku kunachagizwa na uchache wa photoreceptor cell aina ya cones na uoni ang'avu zaidi wakati wa mchana ni uwingi wa rodes. Refer to popo why anaona zaidi usiku kuliko mchana. etc