Naombeni kujua basic Application ninazotakiwa kuwa nazo kwenye PC Yangu.

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Poleni kwa kazi..
Wakuu niko kwenye mchakato wa kupata laptop siku sio nyingi ila naombeni kujuzwa ni application zipi ambazo ni basics mie kuwa nazo.
Kwa mfano najua browser kama mozila..
Microsoft office.
Nyingine tafadhali....
Natanguliza shukrani..
 
Inategemea hiyo laptop unataka kuitumiaje. Kwa mfano wewe ni accountant kwa hiyo unapaswa kuinstall accounting software n.k
 
Back
Top Bottom