Mi niliona pia face book nikapiga simu aliepokea alikuwa dada akanambia hawana hilo tangazo facebook.
Wao wanapatikana posta jengo linaitwa Patel.
Kama unaweza nenda mi sijafanikiwa kwenda bado.
Wakuu katika pitapita zangu huko na huko
Nimekutana na ukurasa wa JK kinachoendelea huko ni kwamba wanatoa mkopo kupitia taasisi yao ya Step Loans
Sasa masharti huko ni kujaza form na kuweka Akiba yako kutokana na kiasi unachoomba
Sasa ni wangapi wamewahi kufaidika na hii kitu na vipi baada ya kuweka akiba yao walitumiwa mkopo au ni wizi mitandaoni wakitumia jina la Rais mstaafu vibaya?
Wanaolijua hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.