Naombeni kufahamishwa mkanganyiko huu Wa dawa za meno tunazotumia kupiga mswaki

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Kampuni ya Whitedent wanadai wameweka "active ingredient 0.76% of sodium monofluorophosphate" katika dawa yao ambapo ni tofauti na "Colgate- ambayo wao wameweka 1.1% ya sodium monofluorophosphate
======
Je: nini tofauti yake katika afya ya kinywa na meno?
 
Kazi yake ni kulinda fizi dhidi ya mashambulizi ya bacteria

Hapo ni concentration ratio tu zinatofautiana kati ya whitedent na colgate
Maeleze yako yangependeza zaidi kama ungemalizia kwa kujibu swali kama lilivyoulizwa. Na hili kulijibu swali vizuri pengine ungetwambia ni percentage (concentration) kiasi gani inafaa kwa kinywa cha binadamu kwa ajili ya kinga na bila madhara.
 
A

Ni kweli mkuu
 
Dawa ya whitedent ni mbofu sana ukitumia ni Kali zaidi mdomoni, haina ladha halafu huleta maumivi kama ina pasua ulimi yaani Mimi nisha achana nayo kitambo! Kuna dakitali aliwahi sema hata walichoandika pale ni uongo mtupu!
 
mi huwa natumia majivu, sabuni, miti, mkaa kusafisha meno yangu. Hizo dawa za Wasungu tuwaachie nyinyi watoto wa mjini
 
Maeleze yako yangependeza zaidi kama ungemalizia kwa kujibu swali kama lilivyoulizwa. Na hili kulijibu swali vizuri pengine ungetwambia ni percentage (concentration) kiasi gani inafaa kwa kinywa cha binadamu kwa ajili ya kinga na bila madhara.
Usual amount ni 0.76% so kwa maana hiyo whitedent wanatumia the standard amount.
 
Dawa ya whitedent ni mbofu sana ukitumia ni Kali zaidi mdomoni, haina ladha halafu huleta maumivi kama ina pasua ulimi yaani Mimi nisha achana nayo kitambo! Kuna dakitali aliwahi sema hata walichoandika pale ni uongo mtupu!
mbofu>>>mbovu
maumivi>>maumivu
dakitali>>>daktari

Mkuu, kwa hiyo whitedent wanatudanganya pale hamna kitu kabisa?? sasa alikushauri utumie dawa gani ambayo ni nzuri zaidi??
 
Back
Top Bottom