Naombeni kufahamishwa mkanganyiko huu Wa dawa za meno tunazotumia kupiga mswaki

D

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
3,730
Likes
6,278
Points
280
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
3,730 6,278 280
Kampuni ya Whitedent wanadai wameweka "active ingredient 0.76% of sodium monofluorophosphate" katika dawa yao ambapo ni tofauti na "Colgate- ambayo wao wameweka 1.1% ya sodium monofluorophosphate
======
Je: nini tofauti yake katika afya ya kinywa na meno?
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,424
Likes
21,151
Points
280
Age
25
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,424 21,151 280
Kazi yake ni kulinda fizi dhidi ya mashambulizi ya bacteria

Hapo ni concentration ratio tu zinatofautiana kati ya whitedent na colgate
 
Chona

Chona

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Messages
516
Likes
105
Points
60
Chona

Chona

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2010
516 105 60
Kazi yake ni kulinda fizi dhidi ya mashambulizi ya bacteria

Hapo ni concentration ratio tu zinatofautiana kati ya whitedent na colgate
Maeleze yako yangependeza zaidi kama ungemalizia kwa kujibu swali kama lilivyoulizwa. Na hili kulijibu swali vizuri pengine ungetwambia ni percentage (concentration) kiasi gani inafaa kwa kinywa cha binadamu kwa ajili ya kinga na bila madhara.
 
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
3,730
Likes
6,278
Points
280
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
3,730 6,278 280
A
Maeleze yako yangependeza zaidi kama ungemalizia kwa kujibu swali kama lilivyoulizwa. Na hili kulijibu swali vizuri pengine ungetwambia ni percentage (concentration) kiasi gani inafaa kwa kinywa cha binadamu kwa ajili ya kinga na bila madhara.
Ni kweli mkuu
 
M

mswangilishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Messages
460
Likes
1,113
Points
180
M

mswangilishi

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2016
460 1,113 180
Kazi yake ni kulinda fizi dhidi ya mashambulizi ya bacteria

Hapo ni concentration ratio tu zinatofautiana kati ya whitedent na colgate
Kwani kiwango kinatofautiana! Kama kazi nikurinda kwanini isingewekwa 100%?
 
M

mswangilishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Messages
460
Likes
1,113
Points
180
M

mswangilishi

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2016
460 1,113 180
Dawa ya whitedent ni mbofu sana ukitumia ni Kali zaidi mdomoni, haina ladha halafu huleta maumivi kama ina pasua ulimi yaani Mimi nisha achana nayo kitambo! Kuna dakitali aliwahi sema hata walichoandika pale ni uongo mtupu!
 
Swizzy

Swizzy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Messages
757
Likes
429
Points
80
Swizzy

Swizzy

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2016
757 429 80
mi huwa natumia majivu, sabuni, miti, mkaa kusafisha meno yangu. Hizo dawa za Wasungu tuwaachie nyinyi watoto wa mjini
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,424
Likes
21,151
Points
280
Age
25
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,424 21,151 280
Maeleze yako yangependeza zaidi kama ungemalizia kwa kujibu swali kama lilivyoulizwa. Na hili kulijibu swali vizuri pengine ungetwambia ni percentage (concentration) kiasi gani inafaa kwa kinywa cha binadamu kwa ajili ya kinga na bila madhara.
Usual amount ni 0.76% so kwa maana hiyo whitedent wanatumia the standard amount.
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,424
Likes
21,151
Points
280
Age
25
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,424 21,151 280
Kwani kiwango kinatofautiana! Kama kazi nikurinda kwanini isingewekwa 100%?
Mkuu kumbuka hizo ni antibacterial ila ni toxic pia kwa binadamu. Kwahiyo lazima ziwe katika appropriate amounts
 
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
40,761
Likes
48,595
Points
280
Joseverest

Joseverest

Verified Member
Joined Sep 25, 2013
40,761 48,595 280
Dawa ya whitedent ni mbofu sana ukitumia ni Kali zaidi mdomoni, haina ladha halafu huleta maumivi kama ina pasua ulimi yaani Mimi nisha achana nayo kitambo! Kuna dakitali aliwahi sema hata walichoandika pale ni uongo mtupu!
mbofu>>>mbovu
maumivi>>maumivu
dakitali>>>daktariMkuu, kwa hiyo whitedent wanatudanganya pale hamna kitu kabisa?? sasa alikushauri utumie dawa gani ambayo ni nzuri zaidi??
 
Apolo The Great

Apolo The Great

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Messages
213
Likes
100
Points
60
Apolo The Great

Apolo The Great

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2014
213 100 60
Alikishauri>>>alikushauri
mbofu>>>mbovu
maumivi>>maumivu
dakitali>>>daktariMkuu, kwa hiyo whitedent wanatudanganya pale hamna kitu kabisa?? sasa alikishauri utumie dawa gani ambayo ni nzuri zaidi??
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,424
Likes
21,151
Points
280
Age
25
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,424 21,151 280
Mkuu kuna hii inaitwa SENSODYNE nayo vipi? Nasikia watu wanasema ni nzuri...
Sensodyne ni poa pia kama unaweza ipata Pronamel nayo ni nzuri has kwa ambao meno bado hayajaharibika husaidia kuimarisha meno
 
Forum statistics

Threads 1,262,360
Members 485,562
Posts 30,121,167