Naombeni kufahamishwa kuhusu kanisa la Efatha

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,188
4,100
Kama kichwa kisemavyo naombeni kujua kuhusu efatha maana kuna jirani Yangu ananitaka nikasali huko nashindw kukubali kwani sijui misigi yake pia maana ya Efhata na ukweli wa imani husika
Sina nia mbaya nahitaji wanaompenda Mungu wanijibu ili ikimpendeza Mungu Sikh moja nikatembee
 
Unako sali sasa hivi kuna shida gan ?
 
Yesu mwenyewe alikuwa muislam
adam alikuwa muislam
ibrahimu
isaka
yakobo
musa
yoshua
daudi
suleiman
manabii wote
mama maria
yosefu
yesu
mara ghafla wakristo huko vatican wakaleta ukristo na paulo wakaacha dini ya kweli.Mungu sio kigeugeu.islam ndo dini ya kweli
 
Sasa nani alikukatalia au unaiambia nafsi yako,..!?
 
Yesu mwenyewe alikuwa muislam
adam alikuwa muislam
ibrahimu
isaka
yakobo
musa
yoshua
daudi
suleiman
manabii wote
mama maria
yosefu
yesu
mara ghafla wakristo huko vatican wakaleta ukristo na paulo wakaacha dini ya kweli.Mungu sio kigeugeu.islam ndo dini ya kweli
Mohammad mwenyewe alitokea baada ya ukristo kuwepo na hata baba ake mzazi hakua muislam
 
Back
Top Bottom