Naombeni kufahamishwa kuhusu kanisa la Efatha

Kama ni mtihani mwalimu anaweza asihangaike kuyasoma majibu yako mengine ukafeli... Soma vizuri swali ulielewe kisha ujibu

Yaani hapo maana yake usipoteze muda kuwaza hao binadamu wenzako wanadai wanaweza kukufutia dhambi, dini ya kweli na haki ni uislam
 
Yesu mwenyewe alikuwa muislam
adam alikuwa muislam
ibrahimu
isaka
yakobo
musa
yoshua
daudi
suleiman
manabii wote
mama maria
yosefu
yesu
mara ghafla wakristo huko vatican wakaleta ukristo na paulo wakaacha dini ya kweli.Mungu sio kigeugeu.islam ndo dini ya kweli
Akili zakuambiwa uchanganye na zako
 
Yesu mwenyewe alikuwa muislam
adam alikuwa muislam
ibrahimu
isaka
yakobo
musa
yoshua
daudi
suleiman
manabii wote
mama maria
yosefu
yesu
mara ghafla wakristo huko vatican wakaleta ukristo na paulo wakaacha dini ya kweli.Mungu sio kigeugeu.islam ndo dini ya kweli
Umelishwa sumu mbaya sana kiasi kwamba utakufa nayo tu na mwisho moto wa jehanamu unakuhusu. Adam na Yesu hawakuwa na dini. Abraham na akina Isack hawakuwahi kuwa na dini. Ukristu ndiyo ilikuwa dini ya Kwanza, na Uislamu uliasisiwa na Wakatoriki ili kuiteka Israel, ingawa baadaye waliwageuka na kuwa na jeshi kubwa ambalo Vatican liliwashinda na ndicho unachokiona leo, na ndiyo maana waislamu na mapepo ni damu damu, ila ukija kwa wafuasi wa Yesu Kristu, ukisema tu ktk Jina la Yesu Kristu wa Nazareti basi hata hayo majini uliyo nayo wewe yatapiga kelelelelelelelelelele ya kuungua moto. Wewe soma hata hiyo Kurani yako inaonesha kabisa ni Yesu Pekee ndiye aliyekuja kuukomboa ulimwengu na siyo kiumbe mwingine wa kuzaliwa.
 
Neno 'WaKristo' halikuanzia Vatican bali Antiokia ( kwa sasa Antakya ) huko Uturuki ya leo - Soma BIBLIA TAKATIFU Mdo.11:19-26 na Mdo.26:28
 
Sijawahi kwenda huko ila mengi niliyoyasikia ni mema, kuna jambo moja tu linanifanya niione Efatha Tanzania ni kama imani yenye ukengeufu.
Jambo hilo ni la kutaka kila anayeamua kujiunga nao basi lazima aongozwe sala ya toba upya na wambatize tena, hata kama mtu huyo akathibitisha kwamba kabatizwa kwa ubatizo wa maji mengi.
Ni heri umeuliza kwanza, siku hizi shetani yuko macho sana, anataka awameze watu wa Mungu.
 
Naamini Mwingira ni Tapeli kama walivyo matapeli wengine kama GeorDavie wanaotumia kalama zao Kupotosha maandiko na kuleta tafsir zao na kujinufaisha wao na familia zao ndo maana Ana miradi ana pesa ndefu hadi Anamiliki bank huku Misukule yake Yaani wanaomwamini wakibaki ktk umasikini, Lakini naamini MUNGU ni mwaminifu Bado kitambo kidogo watalia na kusaga meno maana Hukumu yao IPO nayo siyo mbali

Na ili umiliki bank inabidi uwe na mtaji ambao unaenda kuweka BOT kama amana,,,,kiasi kisichopungua 7.bilion nadhani,,,kwaiyo jamaa amechuma kweli ela za mazuzu wa kikristo......yaan sasaivi ukitaka kupiga pesa za mazuzu fungua kanisa tafuta na dawa za mazingaumbwe,utakula hela za mazuzu hadi basi
 
Kama kichwa kisemavyo naombeni kujua kuhusu efatha maana kuna jirani Yangu ananitaka nikasali huko nashindw kukubali kwani sijui misigi yake pia maana ya Efhata na ukweli wa imani husika
Sina nia mbaya nahitaji wanaompenda Mungu wanijibu ili ikimpendeza Mungu Sikh moja nikatembee

Efatha/Funguka, Iko poa, We nenda tu kaabudu, ila siku nyingine maswali kama haya huwa hawaulizi humu, unaenda kumtafuta Mtumishi Unaemuamini private then unamuuliza, cuz humu kila mtu na akili zake,
 
Yesu mwenyewe alikuwa muislam
adam alikuwa muislam
ibrahimu
isaka
yakobo
musa
yoshua
daudi
suleiman
manabii wote
mama maria
yosefu
yesu
mara ghafla wakristo huko vatican wakaleta ukristo na paulo wakaacha dini ya kweli.Mungu sio kigeugeu.islam ndo dini ya kweli
Umenena vyema sana sasa mbona hamumfuati hiyo Yesu na Mafundisho yake sasa
 
Umelishwa sumu mbaya sana kiasi kwamba utakufa nayo tu na mwisho moto wa jehanamu unakuhusu. Adam na Yesu hawakuwa na dini. Abraham na akina Isack hawakuwahi kuwa na dini. Ukristu ndiyo ilikuwa dini ya Kwanza, na Uislamu uliasisiwa na Wakatoriki ili kuiteka Israel, ingawa baadaye waliwageuka na kuwa na jeshi kubwa ambalo Vatican liliwashinda na ndicho unachokiona leo, na ndiyo maana waislamu na mapepo ni damu damu, ila ukija kwa wafuasi wa Yesu Kristu, ukisema tu ktk Jina la Yesu Kristu wa Nazareti basi hata hayo majini uliyo nayo wewe yatapiga kelelelelelelelelelele ya kuungua moto. Wewe soma hata hiyo Kurani yako inaonesha kabisa ni Yesu Pekee ndiye aliyekuja kuukomboa ulimwengu na siyo kiumbe mwingine wa kuzaliwa.

Bila shaka utakuwa mkolole bila shaka
 
Back
Top Bottom