UVIKO
JF-Expert Member
- Jun 14, 2021
- 294
- 362
- Thread starter
- #21
Naomba nichomekee kidogo ,,hivi cross Examination ina umhimu katika ushahidi mkuu1. Mwanasheria ni mtu yeyote mwenye taaluma ya sheria. Inaweza kuwa cheti, diploma, degree n.k
2. Wakili ni mwanasheria mwenye cheti/leseni inayomruhusu kumuwakilishi mtu mahakani na kuandaa document za kisheria. Kwa sasa ili uwe wakili ni lazima baada ya kupata degree ya sheria upite lawschool, yaani shule ya sheria kwa vitendo.
3. Jaji ni cheo cha kuteuliwa na raisi. Ila kuteuliwa kwake lazima awe na uzoefu wa kufanya kazi za kisheria (wakili/hakimu n.k)kuanzia miaka 10 na kuendelea.