REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,880
Umeshasahau slogan maarufu yaKujua kuandika kiswahili ni hadi usomee lugha? Siku hizi kwenye mitaala ya toka shule ya msingi hadi sekondari hamfundishwi somo la kiswahili?
Utapewa kazi na nani mtu hujui hata kiswahili? Hamsomi hata matangazo ya kazi, huwa wanaandika, "you must be fluent in english and swahili" Lijitu halijui hata tofauti ya "ari" na "hali" ulipe kazi limburura kama hilo la nini, pumbavu sana nyinyi vijana.
Tena nikikutana na lijitu la hivyo naweza kulizibua hata makofi.
Ari mpya
Nguvu mpya na
Kasi mpya?
Au nao walikosea kuandika "Ari"?