Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,153
- 21,294
Mkuu kampuni gan umeomba
Mbona garda ukiomba unaanza mafunzo hapo hapo haina kusubili subili hovyo hovyo
Mbona garda ukiomba unaanza mafunzo hapo hapo haina kusubili subili hovyo hovyo
Unamaanisha ukipeleka sikuhiyohiyo unapata kaziMkuu kampuni gan umeomba
Mbona garda ukiomba unaanza mafunzo hapo hapo haina kusubili subili hovyo hovyo
Ukikamilisha kila kitu ,haina haja ya kusubili wanakwambia njoo siku flan unakuta wenzio tayar ,unaanza training ukimaliza ,unapangiwa lindo ,unanza kuingiza 250k ,kwa mweziUnamaanisha ukipeleka sikuhiyohiyo unapata kazi
😭😭😭Ukikamilisha kila kitu ,haina haja ya kusubili wanakwambia njoo siku flan unakuta wenzio tayar ,unaanza training ukimaliza ,unapangiwa lindo ,unanza kuingiza 250k ,kwa mwezi
Hakuna sijui subili subili
Mkuu wewe uko GardaUkikamilisha kila kitu ,haina haja ya kusubili wanakwambia njoo siku flan unakuta wenzio tayar ,unaanza training ukimaliza ,unapangiwa lindo ,unanza kuingiza 250k ,kwa mwezi
Hakuna sijui subili subili
Fanya bettingWakuu nimeomba kazi za ulinzi kwenye makampuni ya ulinzi baada ya kutoka JKT kama mlivyo nishauri kwenye uzi wangu nilio uweka wiki mbili zilizopita wa kuomba kazi yoyote ile ya halali.
Wengi walinishauri niombe kazi kwenye kampuni za ulinzi kwani ndipo mafunzo yangu yalipo bobea nami bila kuwaangusha nimefanya hivyo na sasa nasubiri majibu.
Hivyo ombi langu nilikuwa naomba kama kuna mtu yeyote mwenye kibarua nacho weza kufanya wakati huo nasubiri majibu ya kampuni nilizo omba anipe maana sijui ni muda gani utatumika kutoa majibu na mimi kukaa bila shughuli yoyote ile ya kufanya ndio siwezi maana nimezoea kuchachalika.
Nipe dili lolote la halali,
elimu yangu kidato cha nne
Nipo Arusha kwa sasa
0654635623.
Ungekuwa Dar ningekwambia njoo kesho mapema asbh bsndarini nikuuungainshe na kiongozi wa magenge uwe kuli uwe unalipwa kulingana na ukataji wako wa contena ila sasa japo ni pesa ndogo ila si haba lkn sasa upo Arusha tunafanyaje....
Mkuu ninashida nayo hiiiUngekuwa Dar ningekwambia njoo kesho mapema asbh bsndarini nikuuungainshe na kiongozi wa magenge uwe kuli uwe unalipwa kulingana na ukataji wako wa contena ila sasa japo ni pesa ndogo ila si haba lkn sasa upo Arusha tunafanyaje....
Uko wapi kwa sasaMkuu ninashida nayo hiii
Msaada please
Contena ya 40 ni sh elfu 40 contena ya 20 ni shilingi elfu 20 na kila genge ni watu wa4 sasa kama genge lenu mpo watu wa4 mkskata cotena 4 za 40 au cotena 4 za 20 mnafedha nzuri tu kwa siku ĺkn lzm muwe na vitambulisho vya suma port service amba yo zita waruhusu kuingia na kufanya kazi bandarini ni hivyo....lzm uwe na refleta muhimu...Pesa Tsh ngap mkuu
Mkuu nakuomba nisaidie mimi please sina ishu ya kufanya nakuomba please nipo KigamboniContena ya 40 ni sh elfu 40 contena ya 20 ni shilingi elfu 20 na kila genge ni watu wa4 sasa kama genge lenu mpo watu wa4 mkskata cotena 4 za 40 au cotena 4 za 20 mnafedha nzuri tu kwa siku ĺkn lzm muwe na vitambulisho vya suma port service amba yo zita waruhusu kuingia na kufanya kazi bandarini ni hivyo....lzm uwe na refleta muhimu...
Contena ya 40 ni sh elfu 40 contena ya 20 ni shilingi elfu 20 na kila genge ni watu wa4 sasa kama genge lenu mpo watu wa4 mkskata cotena 4 za 40 au cotena 4 za 20 mnafedha nzuri tu kwa siku ĺkn lzm muwe na vitambulisho vya suma port service amba yo zita waruhusu kuingia na kufanya kazi bandarini ni hivyo....lzm uwe na refleta muhimu...
Hivyo vitambulisho vinapatikana vipi au nikigezo gn kinatumika kupata kitambulishoContena ya 40 ni sh elfu 40 contena ya 20 ni shilingi elfu 20 na kila genge ni watu wa4 sasa kama genge lenu mpo watu wa4 mkskata cotena 4 za 40 au cotena 4 za 20 mnafedha nzuri tu kwa siku ĺkn lzm muwe na vitambulisho vya suma port service amba yo zita waruhusu kuingia na kufanya kazi bandarini ni hivyo....lzm uwe na refleta muhimu...
Pesa ndogo kama shilingi ngapi?Ungekuwa Dar ningekwambia njoo kesho mapema asbh bsndarini nikuuungainshe na kiongozi wa magenge uwe kuli uwe unalipwa kulingana na ukataji wako wa contena ila sasa japo ni pesa ndogo ila si haba lkn sasa upo Arusha tunafanyaje....
zipo za uhakika?Njoo tupige mishe za saidia fundi huku kimara.
Habari mkuu niambie Garda wanapatikana wapi hapa dsm na wanaitaji vitu gani kwa nafasi ya ulinzi?Wakuu bado natafuta
Hongera kwa kupata kaziMods futa huu uzi nimesha pata kazi Asante.