Naombeni kazi yoyote halali

faru joni

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
471
1,000
Msaada msaada msaada msaada


Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu

Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu

Naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu

Nimezunguka sana kwenye viwanda mbalimbali hapa dsm, naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...

Elimu yangu: degree

Fani: cyber security (ulinzi na usalama wa miundombinu ya teknolojia)

Other award: diploma in computer science (sayansi ya komputa)

Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya

》penetration testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering

》ku-secure system kwa kutumia linux, dns, na kwa kutumia cryptography

》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo

》digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu) yaaani kutafuta ushaidi usio na shaka kuhusu tukio fulani liliofanywa kwa kutumia kifaa cha kitechnologia kama vile simu, au komputa mfano wizi, mauwaji, matumizi mabaya ya vifaa vya tehama nk

Msaada wenu waungwana

Mpaka nimeamua kuwaangukia ndugu zangu mnisaidie ujue nimeshakata tamaa baada ya kuzunguka kila sehemu pasipo mafanikio yeyote yale

Kuliko kulia peke yangu, nimeona niwalilie watanzania wenzangu mnisaidie ndugu zangu

Nimeshatafuta sana kazi, kuanzia application za online, mpaka manually

Note: kazi yeyote ile ntafanya ata kama ni nje ya taaluma yangu, na ntaifanya kwa uaminifu mkubwa mno


Mungu wabariki sana, na muwe n.a. jumapili ilio njema

No yangu: 0755836347
Napatikana: dsm-mbezi-msakuzi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom