Naombeni jina la hii engine

pascal luoga

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
232
257
Iko kwenye Toyota land cruiser mkonge (hard top)

Screenshot_2020-06-25-10-05-23.jpeg
 
Land cruiser mkonge by default ilikuwa unakuja na engine ya 1hz, japo siku hizi Kuna amabzo zinakuja na 1vd ambayo ni diesel v8 configuration, kwa kunangalia juju juju naona intercooler hapo inawezekana kabisa ikawa Ni 1vd

Sent
Hiyo ni Ihz intercooler new model inakuwa na mkonga unatoka nje juu kama hizi v8 za msouth africa
 
Picha si nzuri kutoa jibu la uhakika,ila kwa uzoefu na uonekano wa hiyo engine kwenye picha,naona hapo mbele kuna nafasi kubwa imebaki. Kwa hiyo engine haiwezi kuwa inline six.

Maana size ya inline six ni kubwa kuliko V8 configurations. Kitu cha pili naona kuna intercooler hapo sasa engine ya V8 configuration yenye intercooler nadhani ni 1VD-FTV.
 
Land cruiser mkonge by default ilikuwa unakuja na engine ya 1hz, japo siku hizi Kuna amabzo zinakuja na 1vd ambayo ni diesel v8 configuration, kwa kunangalia juju juju naona intercooler hapo inawezekana kabisa ikawa Ni 1vd

Sent

Iko version ya 1hd fte ipo kwa lx ina intercooler
 
Nadhani bado hajapata jibu maana hata mimi mwenyewe hadi sasa bado nasubiri jibu
 
Picha si nzuri kutoa jibu la uhakika,ila kwa uzoefu na uonekano wa hiyo engine kwenye picha,naona hapo mbele kuna nafasi kubwa imebaki. Kwa hiyo engine haiwezi kuwa inline six,maana size ya inline six ni kubwa kuliko V8 configurations. Kitu cha pili naona kuna intercooler hapo sasa engine ya V8 configuration yenye intercooler nadhani ni 1VD-FTV.
+1
Kuna mdau anasema hiyo Ni 1hz yenye intercooler ndo kichwa kinaniuma sijawahi ona turbocharged 1hz

1HZ sijawahi ona wala sikia imefungwa kwenye mkonge. Ni engine ndogo kwa mkonge,labda kama unataka mkonge uende kama passo.
 
Picha si nzuri kutoa jibu la uhakika,ila kwa uzoefu na uonekano wa hiyo engine kwenye picha,naona hapo mbele kuna nafasi kubwa imebaki. Kwa hiyo engine haiwezi kuwa inline six,maana size ya inline six ni kubwa kuliko V8 configurations. Kitu cha pili naona kuna intercooler hapo sasa engine ya V8 configuration yenye intercooler nadhani ni 1VD-FTV.
Perfect uko sawia, ni 1vd ftv. Nilipata jbu kama lako sehemu
 
1HZ sijawahi ona wala sikia imefungwa kwenye mkonge. Ni engine ndogo kwa mkonge,labda kama unataka mkonge uende kama passo.
Mkuu unamaanisha au unatania ? by default mkonge unakuja na engine hiyo ya 1hz

Sent
 
Back
Top Bottom