Naombeni frequency za TBC FM/radio Tz au station yoyote ntakayoweza kusikiliza bunge live.

Sharp lady

Senior Member
Feb 23, 2011
129
13
Hi Wadau!

Naombeni freguency za TBC FM/radio Tz au station yoyote wanayorusha vipindi vya bunge live.
Thanks in advance.
 
TBC FM hawarushi bunge wanarusha micharuko halafu hii si sehemu yake.Pia hujaweka wazi frq kwa njia ya redio au tv pia uko wapi weka wazi tukusaidie
 
Hi Wadau!

Naombeni freguency za TBC FM/radio Tz au station yoyote wanayorusha vipindi vya bunge live.
Thanks in advance.

sidhani kama utafanikiwa kusikia vizuri Bunge kwani kuna fununu mitambo ya TBC ina "allegy" na sauti za wabunge wa Chadema..kila wakiongea digital system zinapata taabu kunasa...:caked:
 
Kwenye Tune In kuna Mambo Jambo Arusha. Ipo live km una cmu yenye android
 
sidhani kama utafanikiwa kusikia vizuri Bunge kwani kuna fununu mitambo ya TBC ina "allegy" na sauti za wabunge wa Chadema..kila wakiongea digital system zinapata taabu kunasa...:caked:
kumbe,ndo maana tbc haipatikani ,
 
Back
Top Bottom