Naombeni dawa

smati

Senior Member
Dec 24, 2010
149
5
Kuna mdada nafanye naye kazi, kweli ananikera

1. Nikiacha koti analivaa
2. Nikijisahau anazigusa nanili zangu makusudi , sijui anapima nini
3. Atagusisha nyonyo zake makusudi na hadi aone umekereka
4. Anajua unamwangalia na anaacha wazi gate la kule machimboni.

Sasa naomba dawa, nikimnyeshwa asinisumbue tena.

Jamani sitaki nnionekane namnyanyasa
 
Kuna mdada nafanye naye kazi, kweli ananikera

1. Nikiacha koti analivaa
2. Nikijisahau anazigusa nanili zangu makusudi , sijui anapima nini
3. Atagusisha nyonyo zake makusudi na hadi aone umekereka
4. Anajua unamwangalia na anaacha wazi gate la kule machimboni.

Sasa naomba dawa, nikimnyeshwa asinisumbue tena.

Jamani sitaki nnionekane namnyanyasa

Huyo dada anakupenda/kukutamani na ndio maana anafanya hivyo ila mbona dawa unayo? Ni kunyoa au kusuka. Maamuzi yote yapo mikononi mwako.
 
Kweli bongo,we have löng way to go,yaani nyie badala ya kufanya kazi hapo ofisini kwenu thn nyie mnaendekeza mapenzi?
 
Labda yeye ndo anajaribu kukupa dawa upone.... maana hali ya kawaida......
 
kama anakukera mpige stop. Tena haraka kabla hajakolea na hako kamchezo. Kuwa na msimamo wala usicheke naye.
 
Nyinyi mngefanya kazi CHINA mngenyogwa,badala yakufanya kazi mnaendekezi mapenzi!duu hikindo kizazi cha JK, mnamatatizo nyinyi!
 
Ukitaka kugombana na bint ofisini mwambie yeye ni changudoa (kwa vitendo au maneno).. Hivyo, Kila akikaa vibaya mwambie umeona na unampa mia mbili au mia 5, ...kila akigusisha nyonyo zake mpe mia tano.. mbele ya wafanyakazi wengine..

Ila jitayarishe ...bifu lake halitaisha hadi mnaacha kazi...atakuchukia kuliko wanaume wote..

Lakini ukitaka ustaaarabu.. Mwambie kuwa yeye ni dada yako na unamuheshimu kama dada yako..Ila atakuchukulia wewe ni mshamba kuliko washamba wote.. Lakini utakuwa umepona..
 
Umeoa?, upo ktk Relationship?
Next time ukienda Ofisini nenda na Picha ya huyu My Love wako, iweke katika Desk lako mahali panapooneka, akipita akiiona atatia akili.
Na akiona ni kifaa kuliko yeye alivyo, utammaliza kabisa.
 
tulizo una akili sana. nilitaka kumuambia kila ukiona mtanie, bt dont let it into ur heart. so mtanie mbele za watu. muambie,dah wakubwa wanafaidi sana. afu akiacha machimbo wazi muimbie kale ka wimbo ka utoto 'duka la mzungu li wazi,lauza mchele na nazi...', wifi ashadii plz muimbie kwa sauti basi ajue tune yake.
 
utakuwa umetumia nguvu flan kutengeneza mazingira ya kufanyiwa hayo...
tumia nguvu hiyo hiyo kutengeneza mazingira ya kutofanyiwa hayo...
 
Kama kweli hutaki upuuzi mwambie wazi kwamba "SITAKI MAMBO YA KIPUUZI"ataacha mala moja!unaogopa nini?ila kama utaendelea kumchekea ukubali cost yake.
 
Tatizo la wadada hawachelew ku chenchia ukiwaambia huwataki, atakuja na sera kuwa umemtaka ila yy hakutaki ndo maana unamletea bif, jambo la muhim 1.usicheke nae mkiwa peke yenu labda km mpo na wafanykz wengine 2. Jitahid kujitenga nae kila mara, 3.kuwa na sura ya mbuz(kauzu)
 
Back
Top Bottom