Naombeni anuani link ya wizara zote mpya na anuani zake

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,601
Habari zebu wadau, kama kuna mwenye luweza kunipa link ya wapi nitapata orodha ya wizara zone pamoja na idara sake.

natanguliza shukrani
 
Umejaribu kwenye website ipi naomba uiandike ili nijue kama umepatia
Nime Google orodha ya anuani za wizara tz, na kujaribu sites tofauti tofauti bila mafanikio, mpaka habari maelezo nimejaribu bila mafanikio
 
Back
Top Bottom