Naomben ushauri wenu wakuu kwa ufaulu huu

Xhija jilatu

Member
Feb 4, 2017
24
45
Nmehitim 4m4 mwaka Jana
Matokeo angu yakawa division 4 ya point 26
History D
English C
Literature C
Kiswahili D
Civics D
Geography D
Biology D
Mathematics F
Sasa nlikuwa Nina hamu ya kusoma ualimu cjui nfanye nini???
Tafadhali naombeni mawazo yenu
 

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,848
2,000
Point 1 tu ndo imekugharimu kijana..
So nenda Chuo cha serikali za mitaa (utawala) HOMBOLO DODOMA upige msuli pale.. ukitoka na Diploma yako Dont regret never
 

Xhija jilatu

Member
Feb 4, 2017
24
45
Ahsanten Sana ndgu zang mnaweza kunpata watsap kwa 0626393692 lkn hiyo ya serikali za mtaa ajra vp na Kama unamawasiliano na hicho chuo naomba unitumie samahan
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom