Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,150
- 15,603
Hahah nimemdharau sana huyu dogo,kuna watu town hapa wanazitafuta nafasi za kuaminiwa wanakosa yeye analeta ujuaji.
Dogo kibarua chako kimeota nyasi
Dogo kibarua chako kimeota nyasi
Hahahaaa we jamaa umeamua kumfutia huku"Bosi wako kasema kuwa wewe ni mwizi" kauli taarifa