Naombeni msaada kujua jinsi ya kupandisha (kupiga window) kwenye computer bila kutumia CD

Mimi Laptop yangu imezingua ghafla nimeiwasha window ikafunguka vizuri tu ila cursor inarukaruka haitembei nakaamua kuboot wakati inawaka window haijafunguka mazima inaniambia "No bootable disc' msaada wakuu.
mpm chif mkwawa mkuu ..
Atakusaidia
 
Unapata kwenye website ya microsoft kama ni hizi windows mpya.
Download Windows 10 Disc Image (ISO File)
Na kama unaweka kwenye flash utahitaji kuifanya flash yako iwe bootable, download software hii.
Rufus
CHIEF MKWAWA habari yako? Samahani nina maswali machache kuhusu kuchange normal flash to bootable.
1. nikifomat flash angu na kuchukua software za windows 10 nikazipaste kwenye hiyo flash niliyoformat bila kuweka hiyo refus kwenye flash je hiyo flash haitokuwa bootable?
2.namna gani ya kuweka hii rufus kwenye flash ili iwe bootable je nikishaidownload na kuiweka ndani ya flash inatosha au mpka niicomand hii refus ili iweze kufanya installation kwenye flash ndio inakuwa bootable?
3.kuna tofauti gani kati ya flash ambayo imefanywa kuwa bootable kwa kuweka tu soft ware za wndw 10 na flash ambayo imefanywa bootable kwa kuwekwa hii soft ya refus ndio ikawekewa soft wre za windws 10.
4. Hii refus nikishaiweka kwenye flash naweza kuchange hiyo bootable flash to normal flash and how au nikishaformat tu inakuwa normal? Au ndio haiwezi kutumika tena kama flash ya kawaida.
 
1. Ukipaste tu mafile bila uelewa wowote hio flash halitakuwa bootable japo Kuna watu wanaweza kutengeneza bootable flash manual

2. Rufus haiwekwi ndani ya flash Bali yenyewe inatengeneza hio bootable flash, utatakiwa kuifungia Rufus then kupitia hio software utachagua iso ya windows 10 na utachagua na flash yako, Rufus itaformat flash na kutengeneza windows 10 bootable flash.

3. Flash ya kawaida tu inakuwa mfumo wa Fat32 na flash ambayo Ni bootable kwa Rufus inakuwa mfumo NTFS na pia Kuna kafile kadogo ambapo system inakaangalia ilikujua Kama hii flash Ni bootable, baadhi ya iso Hilo file lipo na baadhi hakuna.

4. Ndio ukimaliza unaweza change to normal just format Tena kwenda Fat32.
 
ahsante mkuu
 
Mkuu hapa bado sijakuelewa. Kwahiyo hatua ya kwanza natakiwa kudownload image file ya window 10 iwe kwenye computer
Au nikidownload rufus moja kwa moja ikifunguka ndani yake ndo nitakuta window 10 iliyopo ndani ya computer ikiwa kama tayari ISO file. Hapa nimeshindwa kuelewa.
Na hii kazi inahitaji pawepo na computer mbili si ndio ..
 
Natanguliza salamu

Naombe kujua jinsi ya kupiga window mpya kweny PC bila kutumia CD na pia ku update au ku upgrades piah kubadilisha mfano kutoka window 8 kwend 10

Asanten
Mkuu nafikiri tayari umeshapata mwongozo na kazi yako tayari imeisha.
Hebu naomba utupe step by step mpaka kukamilika kwa zoezi lako mana mi nakwama sielewi elewi kidogo
Ulitumia software ipi Rufus au powerISO hebu tupe elimu na sisi kidogo.
 
mbona wadau hapo juu wameeleza vizuri,rufus kazi yake ni kutengeneza hiyo image ya window ambayo umewekewa hapo na chief mkwawa udownload,hakuna haja ya powerIso sababu tayari hilo file la windowl limeshatengenezwa katika mfumo wa image hapo ww kazi yako ni kudownload hiyo image na hiyo software ya rufus kwenye computer yako chukua flash yako iwe kuanzia 4GB iweke kwenye format ya ntfs ukiirun hiyo rufus inakuonyesha kabisa options za kufanya hapo make sure ile image ya window imeshadownload
 
Asante mkuu, kwahiyo flash inabidi iwe NTFS kabla au kwani rufus si ndo itanifomatia flash yangu kutoka fat32 kwenda NTFS au nimeelewa vibaya maelekezo huko juu.Samahan lakini
 
ndio katika options ambazo ukishairun hiyo rufus kwenye format options utaweka hiyo ntfs kwasababu kawaida flash inakuwa katika FAT32(default) utaicommand button ya start utasubilia kwa muda kidogo mpaka finish lakini make sure boot option hapo mwanzoni umeselect Disk or iso image na utaenda kuichagua ile uliodownload then utaSELECTbutton.
 
Tumia flash. Inabidi uingie kwenye BIOS uruhusu computer yako ku-boot toka kwenye flash. Hapo unatakiwa uwe na flash yenye 5gb au zaidi, uweke .iso file humo kwa kutumia program maalum kama Power ISO (tengeneza bootable flash). Zima computer, chomeka flash, washa komputa, install win10

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
mkuu flash original zinapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom