Naombeni msaada kujua jinsi ya kupandisha (kupiga window) kwenye computer bila kutumia CD

kingzard

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
636
807
Natanguliza salamu,

Naombe kujua jinsi ya kupiga window mpya kwenye PC bila kutumia CD, na pia ku-update au ku-upgrade.

Pia kubadilisha, mfano kutoka window 8 kwenda window 10.

Asanteni.
 
kingzard, Tumia flash. Inabidi uingie kwenye BIOS uruhusu computer yako ku-boot toka kwenye flash.

Hapo unatakiwa uwe na flash yenye 5GB au zaidi, uweke ISO file humo kwa kutumia program maalum kama Power ISO (tengeneza bootable flash). Zima computer, chomeka flash, washa komputa, install window 10

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Tumia flash. Inabidi uingie kwenye BIOS uruhusu computer yako ku-boot toka kwenye flash. Hapo unatakiwa uwe na flash yenye 5gb au zaidi, uweke .iso file humo kwa kutumia program maalum kama Power ISO (tengeneza bootable flash). Zima computer, chomeka flash, washa komputa, install win10

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
ShukranI mkuu.
 
Kama una update tu (haufanyi clean install) unaweza uka run windows kama programs nyngine na kuinstall bila CD ama flash.
 
Kama una update tu (haufanyi clean install) unaweza uka run windowd kama programs nyengine na kuinstall bila cd ama flash
je ntapataj hizo software za na kuziwek kweny flash kam Natak kupiga window mpya
 
Hizi biashara za next next finish ndo zimetufanya wengi tuliolipa ada zetu kusomea computer vyuo vikuu kuachana kabisa na ishu za installation. Mi ukiniitia kazi yako bila elf hamsini kufanya installatio siji, ita tu wanaoita kupiga windo chini. Maana ukizubaa unalipwa elf kumi haitoshi hata petroli ya gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simple sana, pita hapa

Rufus

pakua hiyo software, tengeneza bootable kutoka kwenye image ya windows cd mfano .iso

washa kompyuta yako chakua boot from usb fanya yako.

NOTE:
options to boot from flash drive differ from manufacturers and models of PC, please follow their guidelines on that...

also it easy to create a bootable from CD image, so alternatively you can create an image from the actual CD and use it for a bootable USB...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi biashara za next next finish ndo zimetufanya wengi tuliolipa ada zetu kusomea computer vyuo vikuu kuachana kabisa na ishu za installation. Mi ukiniitia kazi yako bila elf hamsini kufanya installatio siji, ita tu wanaoita kupiga windo chini. Maana ukizubaa unalipwa elf kumi haitoshi hata petroli ya gari

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe unaweka yenyewe?

Maana Kitaani wanapiga copy then wanaactivate kwa buku 3 ya kiepe yai na software zote ni cracked
 
the system configuration was unchecked and after restarting the laptop wont boot, what is a simple fix way
 
Mimi Laptop yangu imezingua ghafla nimeiwasha window ikafunguka vizuri tu ila cursor inarukaruka haitembei nakaamua kuboot wakati inawaka window haijafunguka mazima inaniambia "No bootable disc' msaada wakuu.
 
Hizi biashara za next next finish ndo zimetufanya wengi tuliolipa ada zetu kusomea computer vyuo vikuu kuachana kabisa na ishu za installation. Mi ukiniitia kazi yako bila elf hamsini kufanya installatio siji, ita tu wanaoita kupiga windo chini. Maana ukizubaa unalipwa elf kumi haitoshi hata petroli ya gari

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasoma pekee yako na ss tumesoma
 
Back
Top Bottom