Naomben msaada kujua jinsi ya kupandisha (kupiga window) kwenye computer bila kutumia CD

kyakakombo

kyakakombo

Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
32
Points
125
kyakakombo

kyakakombo

Member
Joined Jun 7, 2013
32 125
Mimi Laptop yangu imezingua ghafla nimeiwasha window ikafunguka vizuri tu ila cursor inarukaruka haitembei nakaamua kuboot wakati inawaka window haijafunguka mazima inaniambia "No bootable disc' msaada wakuu.
 
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,727
Points
2,000
ashomile

ashomile

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,727 2,000
Hizi biashara za next next finish ndo zimetufanya wengi tuliolipa ada zetu kusomea computer vyuo vikuu kuachana kabisa na ishu za installation. Mi ukiniitia kazi yako bila elf hamsini kufanya installatio siji, ita tu wanaoita kupiga windo chini. Maana ukizubaa unalipwa elf kumi haitoshi hata petroli ya gari

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasoma pekee yako na ss tumesoma
 
Holly Star

Holly Star

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Messages
821
Points
1,000
Holly Star

Holly Star

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2018
821 1,000
Natanguliza salamuNaombe kujua jinsi ya kupiga window mpya kweny PC bila kutumia CD na pia ku update au ku upgrades piah kubadilisha mfano kutoka window 8 kwend 10Asanten
Nenda shule
 
kingzard

kingzard

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
409
Points
500
kingzard

kingzard

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2017
409 500
Mimi Laptop yangu imezingua ghafla nimeiwasha window ikafunguka vizuri tu ila cursor inarukaruka haitembei nakaamua kuboot wakati inawaka window haijafunguka mazima inaniambia "No bootable disc' msaada wakuu.
mpm chif mkwawa mkuu ..
Atakusaidia
 
Raoluoroliech

Raoluoroliech

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Messages
238
Points
250
Raoluoroliech

Raoluoroliech

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2019
238 250
Unapata kwenye website ya microsoft kama ni hizi windows mpya.
Download Windows 10 Disc Image (ISO File)
Na kama unaweka kwenye flash utahitaji kuifanya flash yako iwe bootable, download software hii.
Rufus
CHIEF MKWAWA habari yako? Samahani nina maswali machache kuhusu kuchange normal flash to bootable.
1. nikifomat flash angu na kuchukua software za windows 10 nikazipaste kwenye hiyo flash niliyoformat bila kuweka hiyo refus kwenye flash je hiyo flash haitokuwa bootable?
2.namna gani ya kuweka hii rufus kwenye flash ili iwe bootable je nikishaidownload na kuiweka ndani ya flash inatosha au mpka niicomand hii refus ili iweze kufanya installation kwenye flash ndio inakuwa bootable?
3.kuna tofauti gani kati ya flash ambayo imefanywa kuwa bootable kwa kuweka tu soft ware za wndw 10 na flash ambayo imefanywa bootable kwa kuwekwa hii soft ya refus ndio ikawekewa soft wre za windws 10.
4. Hii refus nikishaiweka kwenye flash naweza kuchange hiyo bootable flash to normal flash and how au nikishaformat tu inakuwa normal? Au ndio haiwezi kutumika tena kama flash ya kawaida.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,021
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,021 2,000
CHIEF MKWAWA habari yako? Samahani nina maswali machache kuhusu kuchange normal flash to bootable.
1. nikifomat flash angu na kuchukua software za windows 10 nikazipaste kwenye hiyo flash niliyoformat bila kuweka hiyo refus kwenye flash je hiyo flash haitokuwa bootable?
2.namna gani ya kuweka hii rufus kwenye flash ili iwe bootable je nikishaidownload na kuiweka ndani ya flash inatosha au mpka niicomand hii refus ili iweze kufanya installation kwenye flash ndio inakuwa bootable?
3.kuna tofauti gani kati ya flash ambayo imefanywa kuwa bootable kwa kuweka tu soft ware za wndw 10 na flash ambayo imefanywa bootable kwa kuwekwa hii soft ya refus ndio ikawekewa soft wre za windws 10.
4. Hii refus nikishaiweka kwenye flash naweza kuchange hiyo bootable flash to normal flash and how au nikishaformat tu inakuwa normal? Au ndio haiwezi kutumika tena kama flash ya kawaida.
1. Ukipaste tu mafile bila uelewa wowote hio flash halitakuwa bootable japo Kuna watu wanaweza kutengeneza bootable flash manual

2. Rufus haiwekwi ndani ya flash Bali yenyewe inatengeneza hio bootable flash, utatakiwa kuifungia Rufus then kupitia hio software utachagua iso ya windows 10 na utachagua na flash yako, Rufus itaformat flash na kutengeneza windows 10 bootable flash.

3. Flash ya kawaida tu inakuwa mfumo wa Fat32 na flash ambayo Ni bootable kwa Rufus inakuwa mfumo NTFS na pia Kuna kafile kadogo ambapo system inakaangalia ilikujua Kama hii flash Ni bootable, baadhi ya iso Hilo file lipo na baadhi hakuna.

4. Ndio ukimaliza unaweza change to normal just format Tena kwenda Fat32.
 
Raoluoroliech

Raoluoroliech

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Messages
238
Points
250
Raoluoroliech

Raoluoroliech

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2019
238 250
1. Ukipaste tu mafile bila uelewa wowote hio flash halitakuwa bootable japo Kuna watu wanaweza kutengeneza bootable flash manual
2. Rufus haiwekwi ndani ya flash Bali yenyewe inatengeneza hio bootable flash, utatakiwa kuifungia Rufus then kupitia hio software utachagua iso ya windows 10 na utachagua na flash yako, Rufus itaformat flash na kutengeneza windows 10 bootable flash.
3. Flash ya kawaida tu inakuwa mfumo wa Fat32 na flash ambayo Ni bootable kwa Rufus inakuwa mfumo NTFS na pia Kuna kafile kadogo ambapo system inakaangalia ilikujua Kama hii flash Ni bootable, baadhi ya iso Hilo file lipo na baadhi hakuna.
4. Ndio ukimaliza unaweza change to normal just format Tena kwenda Fat32.
ahsante mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,336,673
Members 512,696
Posts 32,547,374
Top