Naomben mnisaidie ktka ma2mz ya blackbery

Sijakusoma vizuri.. Hebu uliza tena kwa Kiswahili fasaha

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Haujaelewa vizuri,ebu tumia lugha straight either andika kwa kingeleza au kiwashili fasaha.
 
Et cm ya bb kama m2 aliiungansha b.b.m! Je ntafanyaje ili niisconect nconnect yng?

Umeuziwa ya kuibiwa?

once you insert your card it will ask for your blackberry id, if you have it provide and it will wipe out all the previous user data if not secured.

ila kwa kiingereza hicho tafuta huwawii au tecno bb hutaiweza
 
Hahahahahahahahahhahahahahahhahahhahaahhahahahhahahahahhahahahahaha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umeuziwa ya kuibiwa?

once you insert your card it will ask for your blackberry id, if you have it provide and it will wipe out all the previous user data if not secured.

ila kwa kiingereza hicho tafuta huwawii au tecno bb hutaiweza

hapana c ya wiz bro wng kavuta(kafarik) xo ndo kaiacha hapa kila m2 ameishndwa xo ndö nimeamua kuulza

thn hcho kzungu kilshushwa na ndege co cha lazma xana kujua kwn wao wanajua kswahl?
 
Sijakusoma vizuri.. Hebu uliza tena kwa Kiswahili fasaha

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk

wng kuna cm imeachwa hapa bt imeungansha na huduma zao za blackbery na b.b.m ikiwemo so ndo naulza je inawezekena kuifanya iwe kama mpya yan program zlzounganshwa zfutwd na ianze kuungwa tena mpya hzo huduma?
 
Matatizo ya kununua blackbery za kupigwa kwa mateja. ukinunua kwenye maduka yanayoeleweka unapata manual.
 
wng kuna cm imeachwa hapa bt imeungansha na huduma zao za blackbery na b.b.m ikiwemo so ndo naulza je inawezekena kuifanya iwe kama mpya yan program zlzounganshwa zfutwd na ianze kuungwa tena mpya hzo huduma?

Kama ndio hvyo leta nikuformatie niiweke os 5 or 6 au ni BB gani?
 
wng kuna cm imeachwa hapa bt imeungansha na huduma zao za blackbery na b.b.m ikiwemo so ndo naulza je inawezekena kuifanya iwe kama mpya yan program zlzounganshwa zfutwd na ianze kuungwa tena mpya hzo huduma?

Ooh hapo nimekusoma inabidi ufanye "security wipe" itafuta kila kitu na itajianza upya umenunua leo

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom