Naomben maelezo zaid ya tofaut zlizopo kati ya BA-ECONOMCS na BS Agro-economcs. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomben maelezo zaid ya tofaut zlizopo kati ya BA-ECONOMCS na BS Agro-economcs.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Apr 30, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Habari zenu waungwana!jaman,kama tittle ya hii thread inavosomeka hapo juu,ni mara nyngine naomba kujuzwa tofaut zlzopo kati ya BA-ECO inayotolewa 'udsm' na Bs agro-eco inayotolewa na 'Sua',nahtaji kuaply chuo lakn nashndwa ipi iwe ya kwanza as vyuo vyote viwili navipenda.naombeni mawazo yenu zaid wakuu,na matokeo yangu ya 4m 6 co mabaya sana coz nina dv 2 pts 10 combi ni HGE{History-C,geography-E,Economcs-B,General study-S,B/applied maths-S
   
Loading...