Naomben kujua jinsi ya kuweka internet via ethernet

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,001
Habar wadau

Nina computer yangu hapa kuna hii cable inaitwa ethernet sijawah itumia kabisa kwa internet sasa naomben kujua nawrzaje supply internet kwenye PC au router via ethernet cable kupitia simu au moderm.

Nawasilisha
 
Habar wadau

Nina computer yangu hapa kuna hii cable inaitwa ethernet sijawah itumia kabisa kwa internet sasa naomben kujua nawrzaje supply internet kwenye pc au router via ethernet cable kupitia simu au moderm

Nawasilisha
Mkuu unachotaka ni computer yako ku kutumia internet.kwanza kabisa kwa kutumia ethernet cable unapaswa kujua color arrangement hii cable inakuwa na waya ndogo ndani zipo nane kuna white orange,orange,kuna white green,blue,kuna white blue,green,na kuna white brown,brown. Hii ethernet cable imegawanyika Mara mbili kuna straight through cable na cross over.

Straight through cable ni kwaajili ya kuunganisha device tofauti mfano computer na router. Sasa hizi kampuni zinazo toa huduma za internet huwa wanauzaga router ambzo zinakuwa tayari zimeungajishwa na kifurushi cha internet au unaweza kutumia laini yako ambyo umejiunga internet bando sasa cha kufanya ni kuaandaa straight through cable yako nakuunganisha router yanye internet pamoja na computer zako ila hiyo cable ni lazima uwe umepachika zile waya kwenye rj 45 pande zote mbili zitakazo kuwezesha kupachika kwenye computer ethernet port yako pamoja na router yako hapo utaweza kushare internet kwenye computer zako kwa kutumia cable.

Njia nyingine rahisi ni kutumia wireless connection kwanjia ya wifi hapo uta share internet kutoka kwenye simu kwenda kwenye pc au kutoka kwenye router kwenda kwenye pc.Ni mchango wangu Mdogo acha wadau waje wakujuze zaidi
 
Habar wadau

Nina computer yangu hapa kuna hii cable inaitwa ethernet sijawah itumia kabisa kwa internet sasa naomben kujua nawrzaje supply internet kwenye pc au router via ethernet cable kupitia simu au moderm

Nawasilisha
Una router? Nunua tu huo waya Kisha chomeka kwenye router na pc, utapata internet.

Inaweza kuwa router hizi za line ama za fiber.
 
Unless kuna security zenu hapo ulipo ukichomeka tu waya wa ethernet toka router hadi computer yako itafanya kazi.
Hapa kwa nyuma kuna ethernet cable sehemu tano za kuchomeka 4 zina blue color moja njano imeanfikwa internet sasa hii ndio fiber inabid ichomekwe saa mm sina nataka niweke internet hapo kwa simu au mpderm
 
Hapa kwa nyuma kuna ethernet cable sehemu tano za kuchomeka 4 zina blue color moja njano imeanfikwa internet sasa hii ndio fiber inabid ichomekwe saa mm sina nataka niweke internet hapo kwa simu au mpderm
Kama hio router haina uwezo wa mobile data Huwezi ukaipa kwa modem
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom