Naombea Meli ingine izame na Treni zipinduke Ili Atensheni isiwe kwenye UMEME

Kwan uongo...Hiyo katuni inaeleza dhairi waziri wenu anacho waza sasa.
 
Cartoon reflects 1000 words, tafakari out of the box!! take action.
 
mwache masoud aendelee kupambana na mambo ya Ngereja. Naona amesahau kuwa tuko bize na uchaguzi igunga naona hataki kabisa kwenda igunga , lakini na hilo jema tu. Ni sawa na yule mwalimu aliyekuwa anafundisha mambo yamemuona kengere ya mapumziko ilipolia kaona hii ni ahueni kabisa.
 
Kwanini tusiombe ile ndege inoyoruka kila siku isianguke?
 
by Masoud kipanya Mwananchi tarehe 20sept ↲
Wadau ya kweli haya

Ashindwe na alegee .Tumechoka kuhuzunishwa na ajali zinazotokana na uzembe wa serikali.Mungu aiponye nchi yetu na mabaya yote
 
Back
Top Bottom