Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,063
- 3,685
Hapo vip!!
Kama kawaida binadamu huota ndoto mbali mbali lakini hii imetisha kidogo..
Leo nimeota nimesimama nje ya biashara yangu karibia na mlangoni..mara nikamuona nyoka anaingia ndani ya biashara yangu...kiukweli baadaya kushtuka usingizini nimekosa amani sana...
Nina imani humu kunawataalam mbali mbali..naombe tafsiri ya hiyo ndoto..na nitafanyaje..