naomba yeyote anaye fahamu kampuni inayo husika na mazingira tofauti na nec anisaidie contacts | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba yeyote anaye fahamu kampuni inayo husika na mazingira tofauti na nec anisaidie contacts

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by elmagnifico, Mar 5, 2012.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,455
  Trophy Points: 280
  kama title ya thread inavyo eleza naomba yeyote anaye fahamu kampuni yeyote inayo husika na masuala ya mazingira anisaidie mawasiliano ya hiyo kampuni
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu hiyo title inasema NEC! Mbona hakuna kitu cha hicho kwenye mazingira au ulimaanisha NEMC? (National Environmental Management Council)
  Kama ndivyo basi kuna jamaa wanaitwa MTL Consulting Limited

  Contact zao ni
  MTL Consulting Company Ltd.,
  Bibi Titi Street , Seifee Mansion (Next to Raha Towers)
  2nd Floor
  PO Box 77894, Dar-es-Salaam, Tanzania.
  Telephone/Fax: +255 22 2120882

  Managing Director,
  Cellular: +255 784 309251
  Email:
  wmutagwaba@mtlconsulting-tz.com
  wmutagwaba@yahoo.co.uk

  Na unaweza ukawatembelea HAPA
  Kila la heri
   
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Pia unaweza kuwasiliana na WWF ingawa wao ni shirika la kimataifa linalohusika na mambo ya uhifandhi wa maliasilia na siyo kampuni binafsi.

  [h=4]Contacts:
  WWF Tanzania,
  Dar es Salaam[/h]Plot No. 350 Regent Estate Mikocheni Dar es Salaam
  Tanzania
  +25 522 270 0077
  +255 22 277 5535
   
 4. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,455
  Trophy Points: 280
  asante sana wanajamvi nilimaanisha nemc
   
 5. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama ni NEMC Mkuu, basi ukiingia kwenye web yao kuna list of registered experts vile vile
   
Loading...