Huwa wanakutumiaga email then ndio inakuwa na instruction zote pamoja na breakdown ya school feesJamani naombeni mnisaidie, kupata information zozote khs Postgraduate Udsm kwn toka walivyotoa majina hakuna kingine wametoa.
Isitoshe joining instruction pia kwa postgraduate bado.