Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 318
- 511
Habari zenu Wakushi.
Poleni na majukumu na mihangaiko ya siku nzima ya leo.
Kutokana na ulazima uliopo imebidi kumuachisha mwanangu kunyonya ziwa la mama yake kuanzia leo 20/nov imenibidi nimtafutie maziwa ya watoto ya formula maalum yanayoitwa Lactogen 2 maana ametimiza miezi 6 sasa.
Sehemu ninayoishi ni kijijini sana niliagiza kutoka mbali mjini nikatumiwa yakanifika.
Lakini sijui jinsi ya kuyatumia KIUKAMILIFU WAKE.
Naomba wazazi wenzangu mliowahi kutumia maziwa haya ya LACTOGEN 2 kwa ajili ya mtoto wa miezi 6(my son ametimiza leo) mnisaidie maelekezo yake ya matumizi kwa kiswahili hili nielewe kwa maana mazingira niliyopo sasa siwezi pata msaada nje ya hapa jf.
Naomba mnisaidie wakuu najua wapo waliowahi kuyatumia au wanaoyajua vizuri.
Maji ya moto niweke kiasi gani na maziwa kiasi ?
N.k