Naomba wataalam wa IT watusaidie hii kitu maana mi imeniacha hoi...

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Download this then open it follow the steps then tell me whats happening!
 

Attachments

  • DavidCopperfield.zip
    106.6 KB · Views: 98
daaaaaaaah kweli aiseeeeeeeee
Unajua anapofanya unasahau zile karata za mwanzo ni pale anapokwambia umtizame machoni, unajua unapofocus kwenye kitu fulani akili huwa inahama kwenye vitu vingine kwa muda na ndio maana pale mwishoni kitu cha kwanza kukitafuta anaporudishia zile nyingine ni kuitafuta ile uliyoifikiria na ukiona haipo hujali tena kuangalia nyingine
 
Huyu atakuwa freemason.......ndiyo maneno ya watu siku hizi haya! Kumbe kadanganywa kidogo tu
 
wala usitafute msaada wa ma-it, huyo jamaa si kwamba anapoteza kadi yako ila anabadirisha card zote...
 
Back
Top Bottom