Naomba Wasifu Selemani Said Jafo, nimevutiwa na kasi yake

herzygovina mwangosi

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
900
431
Habari wanajamvi..
Nimekuwa nikifuatilia; ufatiliaji, ujendaji, hoja zake na anavyo kabiliana au kukubali changamoto pale inapombidi kufanya hivyo.

kama kuna mwenye wasifu wake kadha wa kadha,naomba tujuzane.
 
Back
Top Bottom