Naomba uzoefu kuhusiana na udereva wa malori

Au uanzie kwenye hii league ya taifa
 
Niaje wakuu,

Mimi ni kijana wa miaka 20, elimu yangu ni kidato cha sita .. sasa nimekua interested sana na udereva wa malori, ndio kazi ninayo ipenda kupita maelezo lakini nahitaji uzoefu kutoka kwenu wana JF kuhusu yafuatayo;

1: vigezo vya umri vipoje kabla ya kupewa leseni.

2: inachukua muda gani kwa mtu ambaye hajawahi kuwa na leseni ndo anaanza, mpaka kufikia level ya kuendesha Lori.

Nawasilisha ..
Mimi nikushauri , uzingatia ushauri wa msingi uliotolewa na wadau hapo.

Utakusaidia
 
We kazana kutafuta mtu akuweke kushoto, hizo basics utazifahamu mbele ya safari!

Gari za siku hizi hazihitaji uwe fundi makenika ndiyo uziendeshe.

Hata ukitoka NIT bado unahitaji kukaa kushoto upigwe msasa..

TRUCKING NEEDS PASSION!
Kila la kheri mkuu

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Huo ustaarabu unaoutaka ndio utakukwamisha. Ndio maana nimekuambia hako kashule Kako ulikoenda katakuletea kiburi hutafikia malengo
Lory sio mchezo baba isikie Kwa mtu huko road mambo ni mengi
Kuna basic qualifications za tingo angalau azijue
1. Kufungua tairi na kufungua
2. Kunyanyua cabin na kushusha
3. Kukata trailer na kuunganisha
4. Adjustment za brakes
5.kutoa upepo kwenye injector pump ikitokea tatizo mafuta
6. Kujua kumuelekeza Dereva ukiwa kwenye trailer na ukiwa kwenye cabin
7.Ujue kuiandaa gari asubuhi kabla gari haijaanza safari umpe report Dereva wako inawezekana anakuja Akiwa amevaa suti
8. Ujue kupanda gari ikiwa inatembea
Na mengine mengi
Safi sana man nimeipende hii article yako mkui
 
mkuu kwani siwezi nikapata tu connection nikawa utingo mpaka kujua kutengeneza magari ?? ..
Kwa Sasa sio lazima gari nyingii nizakisasa, miaka ya nyuma ilikua utingo lazima upitie gereji sababu ya magari hayakua na uhakika sana wa safari Sasa ivi ni kwendo wa kisauz, muhimu ni wewe kujenga ukaribu na madereva kuzoeana nao ili wawili watatu kupanda Kwenye chuma ni chap
 
Huo ustaarabu unaoutaka ndio utakukwamisha. Ndio maana nimekuambia hako kashule Kako ulikoenda katakuletea kiburi hutafikia malengo
Lory sio mchezo baba isikie Kwa mtu huko road mambo ni mengi
Kuna basic qualifications za tingo angalau azijue
1. Kufungua tairi na kufungua
2. Kunyanyua cabin na kushusha
3. Kukata trailer na kuunganisha
4. Adjustment za brakes
5.kutoa upepo kwenye injector pump ikitokea tatizo mafuta
6. Kujua kumuelekeza Dereva ukiwa kwenye trailer na ukiwa kwenye cabin
7.Ujue kuiandaa gari asubuhi kabla gari haijaanza safari umpe report Dereva wako inawezekana anakuja Akiwa amevaa suti
8. Ujue kupanda gari ikiwa inatembea
Na mengine mengi
Huo ni udereva wa zamani Mzee,kwa Sasa hizi mambo hatuna ndio maana utakuta XT,MP4 ama FH yupo davoo peke Ake in short nimwendo wa Kisauz acha na maisha ya Kwenye 113
 
Niaje wakuu,

Mimi ni kijana wa miaka 20, elimu yangu ni kidato cha sita .. sasa nimekua interested sana na udereva wa malori, ndio kazi ninayo ipenda kupita maelezo lakini nahitaji uzoefu kutoka kwenu wana JF kuhusu yafuatayo;

1: vigezo vya umri vipoje kabla ya kupewa leseni.

2: inachukua muda gani kwa mtu ambaye hajawahi kuwa na leseni ndo anaanza, mpaka kufikia level ya kuendesha Lori.

Nawasilisha ..
Unatakiwa kuwa mchawi mkuu, hizi kazi zingine si lelemama
 
Back
Top Bottom