XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,293
- 6,956
- Thread starter
- #21
Mi mtoto wa kiume mkuu ..Utaweza huu mtiti lakiniView attachment 1942395
Mi mtoto wa kiume mkuu ..Utaweza huu mtiti lakiniView attachment 1942395
Jokes tu mkuuMi mtoto wa kiume mkuu ..
Hauwezi kuitwa daktari bila kufanya practice .mkuu kwani siwezi nikapata tu connection nikawa utingo mpaka kujua kutengeneza magari ?? ..
😀 Awe mnazi, ale foco , awe konda , kisha ndio dereva au sio?Au uanzie kwenye hii league ya taifaView attachment 1942424
Mimi nikushauri , uzingatia ushauri wa msingi uliotolewa na wadau hapo.Niaje wakuu,
Mimi ni kijana wa miaka 20, elimu yangu ni kidato cha sita .. sasa nimekua interested sana na udereva wa malori, ndio kazi ninayo ipenda kupita maelezo lakini nahitaji uzoefu kutoka kwenu wana JF kuhusu yafuatayo;
1: vigezo vya umri vipoje kabla ya kupewa leseni.
2: inachukua muda gani kwa mtu ambaye hajawahi kuwa na leseni ndo anaanza, mpaka kufikia level ya kuendesha Lori.
Nawasilisha ..
Dere kavurugwa 😂😂😂Utaweza huu mtiti lakiniView attachment 1942395
Safi sana man nimeipende hii article yako mkuiHuo ustaarabu unaoutaka ndio utakukwamisha. Ndio maana nimekuambia hako kashule Kako ulikoenda katakuletea kiburi hutafikia malengo
Lory sio mchezo baba isikie Kwa mtu huko road mambo ni mengi
Kuna basic qualifications za tingo angalau azijue
1. Kufungua tairi na kufungua
2. Kunyanyua cabin na kushusha
3. Kukata trailer na kuunganisha
4. Adjustment za brakes
5.kutoa upepo kwenye injector pump ikitokea tatizo mafuta
6. Kujua kumuelekeza Dereva ukiwa kwenye trailer na ukiwa kwenye cabin
7.Ujue kuiandaa gari asubuhi kabla gari haijaanza safari umpe report Dereva wako inawezekana anakuja Akiwa amevaa suti
8. Ujue kupanda gari ikiwa inatembea
Na mengine mengi
Kwa Sasa sio lazima gari nyingii nizakisasa, miaka ya nyuma ilikua utingo lazima upitie gereji sababu ya magari hayakua na uhakika sana wa safari Sasa ivi ni kwendo wa kisauz, muhimu ni wewe kujenga ukaribu na madereva kuzoeana nao ili wawili watatu kupanda Kwenye chuma ni chapmkuu kwani siwezi nikapata tu connection nikawa utingo mpaka kujua kutengeneza magari ?? ..
Huo ni udereva wa zamani Mzee,kwa Sasa hizi mambo hatuna ndio maana utakuta XT,MP4 ama FH yupo davoo peke Ake in short nimwendo wa Kisauz acha na maisha ya Kwenye 113Huo ustaarabu unaoutaka ndio utakukwamisha. Ndio maana nimekuambia hako kashule Kako ulikoenda katakuletea kiburi hutafikia malengo
Lory sio mchezo baba isikie Kwa mtu huko road mambo ni mengi
Kuna basic qualifications za tingo angalau azijue
1. Kufungua tairi na kufungua
2. Kunyanyua cabin na kushusha
3. Kukata trailer na kuunganisha
4. Adjustment za brakes
5.kutoa upepo kwenye injector pump ikitokea tatizo mafuta
6. Kujua kumuelekeza Dereva ukiwa kwenye trailer na ukiwa kwenye cabin
7.Ujue kuiandaa gari asubuhi kabla gari haijaanza safari umpe report Dereva wako inawezekana anakuja Akiwa amevaa suti
8. Ujue kupanda gari ikiwa inatembea
Na mengine mengi
Unatakiwa kuwa mchawi mkuu, hizi kazi zingine si lelemamaNiaje wakuu,