Naomba ushawishi wa kitaalamu kutoka kwa nyie wataalamu wa simu kuhusu tecno

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,809
Natumaini wazima,

Niende kwenye mada, simu za tecno zinadharaulika na wengi sjui kwanini.. kwa upande wangu nilinunua tablet ya tecno 8h mwaka 2015 December, asee hadi leo ipo na inapiga kazi vizuri mno.. japo namiliki simu ya kampuni nyingine lakin ninapotaka kuwa comfortable kwenye internet basi tecno itahusika na haijawahi kuniangusha

Sasa nyie wataalami wa hizi simu hebu nifahamishen kwanini simu za tecno zinadharaulika??
 
Na specifications Mara nyingi ni za uongo.

Unakuta Simu imeandikwa internal memory ya 8Gb ila ndani zinazofanya kazi/harisi ni 3Gb
 
Back
Top Bottom