Naomba ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Prover, Dec 22, 2010.

 1. P

  Prover Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF Mini ni mjasiriamali nilianzisha shule na kufanikiwa kuyisajili BRELA na MoVET kwa sasa ina walimu 5 na watoto 100 kuanzia awali hadi la 5 shule ina eneo la acres 6 inje ya mpaka wa mji kawa mita 200 tu panapitika mwaka mzima . Kutokana na kua inje ya eneo la mji pamoja na kua na hati miliki na kulipia kodi kila mwaka sikufanikiwa kupata bank inayoweza kunikopesha gari au fedha tangu nianze pamoja nakua mteja wa NMB .nayo imeleta longolongo nyingi Hivo Nahitaji kupata gari la kubeba watoto. Je kuna kampun
   
 2. m

  makeke Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shule iko wapi?
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  Sio lazima hadi uwe na gari ya kumiliki mwenyewe.
  Nakushauri utafute haya macosta muelewane bei asubuhi yawe yanaleta wanafunzi halafu ndio yaendelee na ruti zao. Huwa naona mbezi kuna macosta na madsm yanafanya hivyo.
  Nafikiri itakusaidia kupunguza gharama za services.
  Hongera kwa kuwekeza.
   
 4. P

  Prover Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shule iko mbulu
   
 5. P

  Prover Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru kwa ushauri ila mbulu hamna coaster za town trip wala hatuna hiace za town trip
   
 6. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 580
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sasa unataka kampuni ya kubeba watoto au kampuni ya kukupatia gari?
   
 7. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,177
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  big up kwa huo uwekezaji tena wa kunoa akili za watu. kuna benk inaitwa access bank, siyo lazima uwe mteja, cha muhimu ni hizo assets zako na uwezekano wa wewe kulipa deni baada ya kufanyiwa assessment. u may also try Azania bank, huwa wanatoa loan. nmb mara nyingi huwa n wazushi kiasi. pole kama hizo benk hazina branches huko
   
 8. P

  Prover Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  iwe ya kukopesha gari kama hiace na kulipwa kwa instalment
   
 9. P

  Prover Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbulu kuna nmb tu ndo maana nataabika. Na bank nillzopita arusha zote kikwazo tu mipaka yao ya kazi
   
 10. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  pole bwana mjasiriamali
   
 11. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 1,883
  Likes Received: 912
  Trophy Points: 280
  usife moyo mkuu, mwanzo mgumu lakini komaa tu na kumuomba mungu naamini utapata suluhisho la tatizo hilo muda si mrefu.
   
 12. P

  Prover Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana kwa kunitia moyo tushirikiane maombi na mungu akubariki
   
 13. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 5,524
  Likes Received: 901
  Trophy Points: 280
  jaribu kuongea na wafanyabiashara wa hiace au coaster ukaingia nao mkataba ukawa unawalipa baada ya kukusanya nauli kwa wanafuzni kwa mwezi mwezi kama inalipa watu wataingia nawe deal na kama hailipi basi jaribu kuitisha hata Harambee ya wazazi wanaweza kukuchangia ili watoto wao waweze kupata huduma hiyo ya usafiri kwa makubaliano kuwa mwanzo utawatoza nauli kidogo kwa kipindi cha mwaka kisha baada ya hapo unaweka rate inayokidhi gharama halisi za uendeshaji
   
 14. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,351
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  unahitaji kubeba wanafunzi wangapi kwa kutwa,je umbali gani unatarajia gari litatembea kwa kutwa.kuna uwezekano wa kufanya makubaliano na mtu mwenye daladala mkakubaliana akakupa gari,kwa kukodisha ila mafuta unaweka wewe pamoja na service ndogondogo,
  2.NMB huwa hawatoi mikopo ya magari.wanatoa mikopo ya bishara e.g upanuzi wa biashara,machine etc.unachoweza kufanya ni ku-redesing bizness plan yako,alafu unachota kiasi kwa ajili ya kununua usafiri huo wa watoto.
  Je mbulu wazazi wanaweza kulipa/kuchangia kiasi gani kwa usafiri wa watoto wao?
   
 15. P

  Prover Member

  #15
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 16. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,351
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  kuna minibus 24 seats nadhani itakufaa ipo dar,you can out source the service.ni pm kwa majadiliano zaidi
   
 17. P

  Prover Member

  #17
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks a lot call 0784928167 or 0767928167
   
Loading...