Naomba ushauri

kwaji

Senior Member
Nov 3, 2013
186
32
Nataka kusoma lakini mda mwingi nakuwa na mawazo juu ya maisha yalivyo nikalia vigumu
 
uko kny situation km yangu,najiuliza niendelee kupiga box kwa hela ambayo siioni mwisho wa mwezi baada ya kulipa bills,.................au niingie kusoma nipate professional job.......,na kusoma ukiwa mtu mzima kuna changamoto zake uko darasani unawaza utalipa lini rent? lols
 
Njoo nkuoe usome ukiwa mama wa nyumbani
 
uko kny situation km yangu,najiuliza niendelee kupiga box kwa hela ambayo siioni mwisho wa mwezi baada ya kulipa bills,.................au niingie kusoma nipate professional job.......,na kusoma ukiwa mtu mzima kuna changamoto zake uko darasani unawaza utalipa lini rent? lols

Au urudi nikuweke kinyumba
 
Nataka kusoma lakini mda mwingi nakuwa na mawazo juu ya maisha yalivyo nikalia vigumu

ANgalia kipi kina faida, kusoma au kuwaza ugumu wa maisha. Kama unaona kukaa kila siku unawaza ugumu wa maisha ni sawa na ina faida kwako basi achana na kusoma. Asante
 
Mkuu yan tupo kwenye tatzo moja...me nafnya kazi..na kidogo nilipiga I.T sikuendelea ghafla nikapata kijikazi cha kujikimu japo siridhiki na nikipatacho...nashindwa kujigawa...nataka kusoma ila kazi inabana,nikiangalia kodi na baadhi ya vitu vinanikabili kutokana na kazi yangu...ukweli nakua sina njinsi ila napenda kusomea nacho kipenda

MAJUKUMU MZIGO
 
Evening classes je!!!!!!!!!
au kazi inabana muda wote huo
 
uko kny situation km yangu,najiuliza niendelee kupiga box kwa hela ambayo siioni mwisho wa mwezi baada ya kulipa bills,.................au niingie kusoma nipate professional job.......,na kusoma ukiwa mtu mzima kuna changamoto zake uko darasani unawaza utalipa lini rent? lols

Kwani ulijilipua huko Ughaibuni?
 
Piga moyo konde hakuna mtu asiekuwa na maisha magumu hata unaemwona wewe ana maisha rahisi na yeye ana vikwazo vyake ambavyo wewe huvifahamu pamoja ya kuwa labda mali zake zinaonekana, ndio maisha yalivyo pole sana
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom