MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 884
Wana jf naomba yeyote anipe ushauri, sijisikii hamu ya kufanya mapenzi, je nifanyeje?
kama hujisikii si uache. Una mke/mume au ni girlfriend/boyfriend?Wana jf naomba yeyote anipe ushauri, sijisikii hamu ya kufanya mapenzi, je nifanyeje?
Wana jf naomba yeyote anipe ushauri, sijisikii hamu ya kufanya mapenzi, je nifanyeje?
huyu anatafuta mtu wa kumsikilizisha, si asikii bana?si usifanye?sasa unataka ushauri wa nn?kula tende na pweza
kama hujisikii si uache. Una mke/mume au ni girlfriend/boyfriend?
Sometimes mtu ukiwa serious na watu wanakua serious vile vile.....we unaleta mada kama hii imekaa hewanihewani unategemea nn? Ndo maana umeapta majibu kama haya hapa chini!Wana jf naomba yeyote anipe ushauri, sijisikii hamu ya kufanya mapenzi, je nifanyeje?
kama hujisikii si uache. Una mke/mume au ni girlfriend/boyfriend?
si usifanye?sasa unataka ushauri wa nn?kula tende na pweza
unataka ujisikie? sasa kwa nini usijisikie?
kama ww ni he, kuwa makini na huo utaratibu wa kutojisikia!
watu watakusikilizisha, ohooo!
huyu anatafuta mtu wa kumsikilizisha, si asikii bana?
kama vile amebonyeza kidude cha HELP me feel it!
Asee jamaa mwenyewe kakimbiaaa may be alikua anatest zali teh teh tehTratibu dear, mtu anahitaji msaada huyo,tusimkatishe tamaa namna hiyo jamani. Back to you mwenye shida. Kamwone daktari. Kukosa ham ya mambo fulani kunatokana na mambo mengi sana including physical and psychological factors. Onana na daktari umweleze shida yako, I hope atakusikiliza na kukupa msaada ili nawe uweze kujisikia ham ya game na kuenjoy kama wengine. Ni vema umejigundua na I hope it is not too late. Good luck then!
Wewe ni wa jinsia gani?Wana jf naomba yeyote anipe ushauri, sijisikii hamu ya kufanya mapenzi, je nifanyeje?
Sio mnikatishe tamaa ndg zangu. Niko serious. Nina mke wangu kabisa. Nashkuru huyo mmoja amenipa angalau nimuone doctor. Nahitaji ushauri zaidi kama upo.