Naomba ushauri

unataka ujisikie? sasa kwa nini usijisikie?
kama ww ni he, kuwa makini na huo utaratibu wa kutojisikia!
watu watakusikilizisha, ohooo!
 
kama hujisikii si uache. Una mke/mume au ni girlfriend/boyfriend?

Tratibu dear, mtu anahitaji msaada huyo,tusimkatishe tamaa namna hiyo jamani. Back to you mwenye shida. Kamwone daktari. Kukosa ham ya mambo fulani kunatokana na mambo mengi sana including physical and psychological factors. Onana na daktari umweleze shida yako, I hope atakusikiliza na kukupa msaada ili nawe uweze kujisikia ham ya game na kuenjoy kama wengine. Ni vema umejigundua na I hope it is not too late. Good luck then!
 
Wana jf naomba yeyote anipe ushauri, sijisikii hamu ya kufanya mapenzi, je nifanyeje?
Sometimes mtu ukiwa serious na watu wanakua serious vile vile.....we unaleta mada kama hii imekaa hewanihewani unategemea nn? Ndo maana umeapta majibu kama haya hapa chini!
kama hujisikii si uache. Una mke/mume au ni girlfriend/boyfriend?

si usifanye?sasa unataka ushauri wa nn?kula tende na pweza

unataka ujisikie? sasa kwa nini usijisikie?
kama ww ni he, kuwa makini na huo utaratibu wa kutojisikia!
watu watakusikilizisha, ohooo!

huyu anatafuta mtu wa kumsikilizisha, si asikii bana?
kama vile amebonyeza kidude cha HELP me feel it!

Tratibu dear, mtu anahitaji msaada huyo,tusimkatishe tamaa namna hiyo jamani. Back to you mwenye shida. Kamwone daktari. Kukosa ham ya mambo fulani kunatokana na mambo mengi sana including physical and psychological factors. Onana na daktari umweleze shida yako, I hope atakusikiliza na kukupa msaada ili nawe uweze kujisikia ham ya game na kuenjoy kama wengine. Ni vema umejigundua na I hope it is not too late. Good luck then!
Asee jamaa mwenyewe kakimbiaaa may be alikua anatest zali teh teh teh
 
Ni muda mzuri kwako kuimarisha hobbies mabali mbali; huenda umetumika sana kwenye nanihii mpaka huna hamu nayo tena!

Tafuta activity nyingine
 
Sio mnikatishe tamaa ndg zangu. Niko serious. Nina mke wangu kabisa. Nashkuru huyo mmoja amenipa angalau nimuone doctor. Nahitaji ushauri zaidi kama upo.
 
Sio mnikatishe tamaa ndg zangu. Niko serious. Nina mke wangu kabisa. Nashkuru huyo mmoja amenipa angalau nimuone doctor. Nahitaji ushauri zaidi kama upo.

I'll be honest with you,
kama huna matatizo yanayokuletea stress(mambo fulani hayaendi vizuri kazini au kifedha) ,matatizo ya kiafya basi ushamchoka huyo mkeo.....jaribu nje uone kama hiyo hamu haijawa addiction
 
Najua kwamba mtu mwenye Kisikari anapiteza sexual feelings. go check.
Inaweza kua ni psychological problem pia. Kwani huna mawazo?
 
Cheki afya yako pengine unaweza kuwa na stress, depression au matatizo mengine ya kiafya kama huna ugonvi na huyo mkeo.

Kwani wakati unamuoa ulikuwa na hamu ya kufanya mapenzi? na hiyohamu imekuisha lini? je chanzo kilikuwa nini? chunguza unaweza kukuta chanzo ni kidogo sana pengine hata style na usafi navyo huchangia kama mabakuli na vijiko havioshwi ukitaka kula unasikia uvundo wa chakula cha jana hamu inaweza kuisha ati? ni mtizamo tu.
 
Mmmmh kwanza pole sana kwa hiyo shida uliyonayo ila sidhani kama ni lazima kihivyo ila kama unahisi unakosa kitu faulani muhimu katika maisha yako waone wataalum wa afya ila tatizo hujasema wewe ni jinsia gani mimi
Chinga1
 
Sio mnikatishe tamaa ndg zangu. Niko serious. Nina mke wangu kabisa. Nashkuru huyo mmoja amenipa angalau nimuone doctor. Nahitaji ushauri zaidi kama upo.

Ndo maana tunakupa ushauri wa kubadilisha style yako ya maisha anzisha kitu kipya ambacho umekuwa ukitamani kukifanaya; unajua haya mambo mara nyingi yanaanza na wewe mwenyewe jinsi unavyojiweka na akili yako inavyofikiri; unaweza kukuta wala huhitaji kumwona daktari!
 
Back
Top Bottom