Naomba ushauri

ZABRONE JUSTINE

Senior Member
May 19, 2013
122
23
My fiancêe is 20 years old and 26yrs old, we agreed not to engage into sexual until we become one body means marriage, but she cries each we talk by phone lamenting she is hot she need me to sex! she is in mwanza am in dar es salaam!
 
Ungeandika kwa Kiswahili,ungekuwa huru na kueleweka zaidi. Sasa hueleweki,hushauriki. Kiingereza cha nini wakati hukiwezi?
 
Sasa ni nini hii. Si awape jamaa wa karibu wamkate kiu! Tangu lini fimbo ya mbali ikaua nyoka?
 
My fiancêe is 20 years old and 26yrs old, we agreed not to engage into sexual until we become one body means marriage, but she cries each we talk by phone lamenting she is hot she need me to sex! she is in mwanza am in dar es salaam!

kwenye hayo maeneo machache niliyoyaainisha hapo juu umeniacha hoi mkuu, hii lugha ya mkoloni ni ngumu sana.
 
My fiancêe is 20 years old and 26yrs old, we agreed not to engage into sexual until we become one body means marriage, but she cries each we talk by phone lamenting she is hot she need me to sex! she is in mwanza am in dar es salaam!

My fiance is 20yrs old and im 26.....we agreed not to have sex until we get married.but she cries every week when we talk on the phone saying/moaning/complaining she is horny and she wants[us] to have sex.she is in mwanza and im in dar
 
kwenye hayo maeneo machache
niliyoyaainisha hapo juu umeniacha hoi mkuu, hii lugha ya mkoloni ni
ngumu sana.

kwanini akuache hoi?
si amesema hawara ake ana miaka 20 na 26?labda 20 ya umalaya na 26 ya kuishi!
 
Sasa huyo mchumba mwenye 20yrz,nawe unajihesabu una mchumba hapo?
 
Kung'uta kiingeresa, dada ana umri wa 20 na 26 dah najiuliza hivi alizaliwa akakaa dunian afu akatumbukizwa tumboni tena ama?
 
Ooh boy! Did you try to talk to your mom? I think you are in big problems and you might die. 26 na akili imeingia mchuzi this much?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom