Naomba ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Lisa, Oct 26, 2009.

 1. Lisa

  Lisa JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1,568
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mimi ni mwanamke , nina miaka 32, nina watoto wawili. Nina Advanced Diploma ya IT. Nimemaliza katika chuo cha IIT.Nahitaji kusoma zaidi,kufikia lengo hilo nahitaji sponsor.Nimesikia WAMA wanatoa msaada wa kusomesha wanawake Tanzania. naombeni kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kupata hiyo sponsorship anieleze.WEB yao (WAMA) Haiko clear.

  Otherwise kama kuna mtu anafahamu Sponsor wengine anifahamishe tafadhali.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Dada Lisa hapa majibu utayapata ngoja watu wenye utaalam wa mambo waje ..asubuhi hii bado ni blue monday
   
 3. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Sijui kama WAMA wanadhamini,Lakini mtaka cha uvunguni sharti ainame,kwa nini usifike kwenye ofisi zao ukaulizia vizuri? Kama huwezi basi google wama na utapata information na website yao.
  Pia unaweza kumtafuta huyu kaka mwanasaikoloji anaitwa Dismas Lyasa.Mara nyingi nimemsikia redioni akieleza kuwa anatoa huduma hiyo ya kuwaelekeza watu na kuwatufutia sponsa za masomo.Ni maarufu kiasi chake hasa kwenye magazeti unaweza kupata contacts zake kirahisi.
   
 4. O

  Ogah JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145

  1. Jaribu kuangalia hapa.
  http://www.nuffic.nl/
  ........soma na ufuate maelekezo

  2. Watembelee pia ubalozi wa Ujerumani na ulizia kuhus scholarships walizonazo
   
 5. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  kuna scholarship zimetolewa na wizara ya elimu kwa wanawake 100 tanzania, cha muhimu ni kuwa na admission letter wametoa kwenye gazeti ila pia unaweza tembelea webisite yao kwa maelezo zaidi.
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  website gani si umpatie
   
 7. J

  Jesca New Member

  #7
  Nov 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi nazani ungejitahi kwanza hata ufanye kazi kwa muda ungalie je hiyo elimu ya it inakusaidia then ucheki na hicho unacho taka kusoma coz unatakiwa ujue unasoma uelewe au nini uanataka hasa
   
 8. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ni kweli firstlady kama anayo hiyo web basi ampe ili aweze kuvisit mwenyewe,
   
 9. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Umri wako umeshapita kuwa sponsored na WAMA. WAMA wana sponsor mabinti tena wa Lindi for the time being kwa elimu ya Sekondari Wewe endelea na hiyo advances diploma yako, utumikie taifa huku ukiangalia nini kifanyike. kwa wama nakushauri usipoteze muda wako, majibu niliyokupa ni tosha. Nawafahamu vizuri sana.
   
 10. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  subiri Ubalozi wa INdia wanatoa nafasi kibao mwezi ujao.....
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Caroline, unajua ni kwa nini wanafadhili mabinti kutoka mkoa wa Lindi tu na si kwingineko?
   
 12. ulimboka

  ulimboka Member

  #12
  Nov 3, 2009
  Joined: Aug 23, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani msaada mkubwa ni kuiweka hii website hadharani na kumwachia ajiridhishe yeye mwenyewe huku akisubiri mambo ya India, Nuffic nk http://www.wamafoundation.or.tz/ ukiwa mfuatiliaji mzuri wa hapa kwenye website utapata mwelekeo fulani kwa kwa maneno yao wenyewe kama mkubwa mmoja alivyosema hapo juu:
  GET INVOLVEDDonation
  WAMA Foundation welcomes contributions from corporations, organizations and foundations to support women empowerment especially girls and vulnerable children.
  We will make sure your contributions benefit the targeted individuals.  Your can contribute in either of the following Programmes:

  • Post- Secondary Education:
  • Health : HIV/AIDS resources, sexual reproductive health
  • Women Empowerment
  • Orphans and Vulnerable children

  Your contribution can be done technically, morally, monetary or equipment support in terms of:
  • Writing to us
  • Donate cash
  • Donate through Cheque
   
 13. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nenda wizara ya utumishi makao makuu department ya training..kuna varies sponsorship zinatolewa unachukua form na kujaza halafu unarudisha..utaangalia kozi uipendayo..kuhusu IT nafikiri kwa sasa kuna za kwenda India..just try
   
 14. k

  kisikichampingo Senior Member

  #14
  Nov 4, 2009
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 15. s

  sudikass New Member

  #15
  Jan 27, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fuata ushauri wa watu wanaojua mama utafanikiwa tu
   
 16. s

  sangaline New Member

  #16
  Jan 27, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hii hamna shida wapo vichwa humu ndani utapata tu dada usihofu
   
 17. m

  minara Member

  #17
  Jan 27, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hello mambo vp?
  Nami nimejiunga hapa jamii forum we can share ideas
  email yangu kagwa@udsm.ac.tz
   
 18. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #18
  Jan 27, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Dada Lisa, kwani wewe unataka kusoma nje ya nchi tu au hata TZ? unataka kusoma nini? ungeliweka wazi hilo maana kuna scholarships za specific fields/ countries.
   
Loading...