Amosk
Member
- Dec 6, 2012
- 50
- 8
Jamani naombeni ushauri na mawazo. Tatizo langu naweza nika maliza siku 2 bila ya kwenda haja kubwa, cha ajabu naweza nikawa najisikia kabisa kwenda kujisaidi lakini nikifika msalani naishia kupumua au kujisaidia haja kidogo, sijui tatizo nn naombeni ushauri jaman hii hali inanitisha sn.