Naomba ushauri

Brother P

Member
Mar 23, 2011
10
45
Mimi ni mkazi wa morogoro.nina viwanja viwili ,vyote vina ukubwa wa ekari moja kila kimoja.kimoja kipo karibu na mjini na kingine mbali kutoka mjini.sina pesa ya kujenga nyumba kwenye viwanja hivi na sitaki kuviuza.je ni shughuli gani nifanye kwenye viwanja hivi ili ziongeze pato langu kiuchumi?
 

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,350
2,000
Mimi ni kijana nina miaka 37,ninamke na watoto2,nilikuwa nasoma pale technical brain,mpaka diploma mawasiliano,lkn sikumaliza hiyo course,sbb mambo ya kiuchumi,nataka kuendea nimalize nipate diploma je nitaweza au najilisha upepo?
 

Laurence

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
3,104
1,225
Sasa brother P utawezaje kuongeza pato lako wakati hauko tayari kuuza sehemu ya hvyo viwanja vyako? Ushauri ni huu: uza sehemu ya hivyo viwanja then tafuta biashara nzuri itakayokusaidia kupanua mtaji wako huo lakn mbali na hapo labda hautaki kusonga mbele na uzuri una resource hyo itumie vzr
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom