DOCTOR BINGWA BINGWA WA HAYO NI YESU UTARATIBU WAKE NI KUMWAMINI NA KUMKIRI KWA KINYWA CHAKO KISHA UTAMWAMBIA TATIZO ATAPONA BILA WEWE KUTOA HELA.HUDUMA YAKE NI BURE ILA UMWAMINI NA KUACHA DHAMBIBaada ya kufunga ndoa na mke wangu mwenye umri miaka 18. mwezi mmoja baada alianza kuumwa ugonjwa wa kuishiwa dam ambapo kabla niliambiwa ni tatzo alilokuwa nalo toka utoton sasa lilikwisha pona haya maneneo niliambiwa kabla sijamuoa lakini baada ya ndoa tatzo likarudi akawa ni wa kuishowa damu nyingi kwa njia ya kublead yaan akiwa period.Ikatokea migongano ya wazazi wetu pande zote baada ya wazazi wangu kumpeleka kwa mganga wa kienyeji na mganga kuwaambia huyu mtoto alilogwa toka utotoni na hawezi kupona maana hata madaktari walifanya vipimo na kukutwa hana tatzo lolote katika mfumo wa uzazi bas hapo nikawa nimemrudisha kwao kwa shinikizo la wazaz wang ili akapatiwe dawa za kienyeji mpaka apone.
Amekaa kwao kwa miezi minne huku wazazi wetu wakiwa katika mvutano. Wazazi wangu wakitaka niachane nae na nisimrudishe maana wazazi wake wanakatakataa kuwa mtoto wao hakulogwa wala nini.
Mama alijaribu kunisihi sana kuwa nimuache huyu mtoto kwao na kama kuoa bas ntaoa mwingine.
Sikuweza kumuelewa mama maana binti nlikuwa nampenda maana alikuwa na tabia nzuri na dini pia.
Baada ya kuwa nawasiliana na mke wangu mara kwa mara na kumuuliza hali yake akawa ananiambia kwa sasa yupo sawa na hana tatzo la damu wala tumbo tena.
Basi mapenz yalinijawa ghafla mwezi ulopita nkaamua kwenda kijijini kuwaomba wazazi ridhaa nimfuate mke wangu maana bado nampenda na mm na yeye hatukugombana.
Baba zangu wadogo na babu walikubali ila mama akakubali shingiupande kwa kusema hapana huyo hajapona watakuwa wanakudanganya.
Wazee wakajaribu kumshawishi mwsho wa ck akukubali shingo upande na mm nkaondoka na kumfuata mke wangu kwao bila kipingamizi chichote wazaz wake wakanipa mke wangu nkarudi nae.
Kinachonstua tushaenda hospitalini zaidi ya mara tatu na anapigwa utrasound ya kizaz madactar wanasema hakuna tatzo lkn mpaka sasa hv mke wangu kapungukiwa 60% ya damu na bado tumbo linamuuma kuliko hata mwanzo lkn tatzo halionekani.
nimewaza sana mpaka sasa nimeshaingia gharama kubwa natibisha ugonjwa nsio ufahamu na kumbuka kwa tatzo lake hili wataalam walisema hawezi kushika mimba.
Naaza kuyaona maneno ya mama usoni kwangu na kuwaza namna ntakavyo mrudisha huyu mtoto kwao akatibiwe na dawa za kienyeji mpaka apone maana naona mzigo unaenda kuwa mkubwa na mm sio mzoefu katika ndoa.
naombeni ushauri wenu sitaki matusi wala kejeli ntasikiliza ushauri wenu wadau n