Naomba ushauri wenu kwa matokeo haya

Una umri gan??..nenda form two kama kichwa bado hakilewi sifaa...hutojutia mkuu...elimu haina mwisho
 
Nina umri wa miaka kumi na tisa sasa, maisha yangu kielimu yalikuwa mazuri sana, namaanisha nilikuwa/nina uwezo mkubwa sana kiakili, mtaani walikuwa wakinisifia sana hadi mda mwingine ilifikia kuchukiwa na baadhi wanafunzi wenzangu kwani kila mtihani nilikuwa nikiongoza (nashika number 1) muda ulienda nikaingia sekondari nilikuwa maarufu kwa sababu nilikuwa mkorofi na nilikuwa very bright , nilikuwa naongea kiingereza bila kubabaika, nlikuwa jasiri siogopi kusimama mbele ya 600 students na kutoa speech , nikajikuta nalewa sifa baada ya kuingia kidato cha tatu .

Sikutaka kusoma kwa kuwa rafiki zangu walinisifia kuwa nina akili sana ,hivyo nikae tuu na wao geto form four lazima nifaulu kweli sikuwaza kuwa kuna kuanguka .

Miezi sita sikuwa naenda shule ipasavyo nilikuwa nikijisikia ndo naenda ,.Mara paap form four hii hapa mtihani wa utaamirifu nkapata dv 3 kichwa kikajaa zaidi sababu marafiki walikuwa wakinijaza misifa.

Mtihani wa taifa nkafanya huku wakinisifia lazima upate division 1 mkuu , hamna haja ya maandalizi wewe ni msomi una akili za kuzaliwa.

Matokeo yakatoka nina div 4.26 machozi yalinitoka ,hadi leo mda huu hata kesho yatakuwa yananitoka tuu maana nia/ndoto zilikuwa kusoma sana na kwenda nje ya nchi ili nije kusaidia jamii inayonizunguka , naumi natamani nirudie tena kusoma maana naona Division 4.26 hainitoshi.

Nimechagua humu kwa sababu nahisi kuna wasomi na nitapata ushauri mzuri

0f2397dbab70d91638734e456a4a48c8.jpg

NATANGULIZA SHUKURANI
kitu cha muhimu tafuta course nzuri ya certificate usome halafu kutoka hapo utaangalia wapi uende... kama umesema sayansi chagua course yoyote ya afya au mineral related courses hapo hutokuja kujuta na siku moja utanitafuta hata kwa soda tuu
 
Nina umri wa miaka kumi na tisa sasa, maisha yangu kielimu yalikuwa mazuri sana, namaanisha nilikuwa/nina uwezo mkubwa sana kiakili, mtaani walikuwa wakinisifia sana hadi mda mwingine ilifikia kuchukiwa na baadhi wanafunzi wenzangu kwani kila mtihani nilikuwa nikiongoza (nashika number 1) muda ulienda nikaingia sekondari nilikuwa maarufu kwa sababu nilikuwa mkorofi na nilikuwa very bright , nilikuwa naongea kiingereza bila kubabaika, nlikuwa jasiri siogopi kusimama mbele ya 600 students na kutoa speech , nikajikuta nalewa sifa baada ya kuingia kidato cha tatu .

Sikutaka kusoma kwa kuwa rafiki zangu walinisifia kuwa nina akili sana ,hivyo nikae tuu na wao geto form four lazima nifaulu kweli sikuwaza kuwa kuna kuanguka .

Miezi sita sikuwa naenda shule ipasavyo nilikuwa nikijisikia ndo naenda ,.Mara paap form four hii hapa mtihani wa utaamirifu nkapata dv 3 kichwa kikajaa zaidi sababu marafiki walikuwa wakinijaza misifa.

Mtihani wa taifa nkafanya huku wakinisifia lazima upate division 1 mkuu , hamna haja ya maandalizi wewe ni msomi una akili za kuzaliwa.

Matokeo yakatoka nina div 4.26 machozi yalinitoka ,hadi leo mda huu hata kesho yatakuwa yananitoka tuu maana nia/ndoto zilikuwa kusoma sana na kwenda nje ya nchi ili nije kusaidia jamii inayonizunguka , naumi natamani nirudie tena kusoma maana naona Division 4.26 hainitoshi.

Nimechagua humu kwa sababu nahisi kuna wasomi na nitapata ushauri mzuri

0f2397dbab70d91638734e456a4a48c8.jpg

NATANGULIZA SHUKURANI
Kufeli ni Moja ya sehemu ya maisha cha muhimu inuka na uangalie ulikosea wapi kisha songa mbele....
 
Pole Sana'a kijana mwenzangu
Sifa yako inafanana na Mimi!!
Lakini Mimi SIKULEWA SIFA!!
na hat mtihani ulipokuja nilifaulu vizuri na namshukuru Sana'a MUNGU!!
Naomba nikufute machozi usilie tenaa na jaribu kufuta ya nyumaaa!!!
Kuhusu mustakabali wa elimu yako bado UNANAFASI!!
 
Kama Uchumi Upo Vzuri Rudia Cha Pili , Utaenda Chuo Lakn Utaenda Kuwapa Ada Tu Hao Wenye Vyuo , Na Cjui Kama Utaja Pata Ajira My Be Uende Don Bosco Ufundi Magar Au Umeme
 
Mkuu njoo Jr maana hats Mimi nilpata matokeo kama ya kwako lkn nasoma engineering na uko Niko kwenye mchakato wa kurudia baadhi ya vpnd
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom