matajiri ni wachache duniani, coz wanafanya kitu ambacho wengne wameshindwa kukifanyaa, forex ni ngumu, ila ugumu ukiishaa ni raha ya milele, watoto wa matajiri hawawezi kufanyaa forex coz wanajua ni ngumu sana hesabu kama zote, halafu ni mental game yaani unaweza kula msosi ukashibaa, ukianza kusoma hii kitu kwa masaa 2 unapata njaa ya hatari na mchoko wa hatari coz akiri inatumika sanaa than normal
pole sana mdogo wangu..ushauri wangu achana na forex lakini pia kama unavuta bange acha..anza kutafuta pesa real..mil5 ni mtaji tosha kabisa wa kutoka kama ubongo wako unafanya kazi...nilishawahi kufanya biashara kwa mtaji wa mil6 nikapata faida mil 11 tena biashara ya miswaki tu kuagiza china mafara utawaskia wanasema chai...achana na hizo ndoto za kutajirika kwa forex
You are addicted "Take a risk that you are willing to lose" Hiyo ni kanuni ya kwanza ya volatile trades.Anyway kwa sasa siwezi kukushauri zaidi ya kukwambia find real money achana na Forex.Create real value. OVA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.